Ndugu zangu, na waaga kwa muda, sijui nitarudi lini Jf kuungana na nyie tena. Ila maombi yenu nipone haraka kutokana na ajali ya barabarani niliyopata ni muhimu sana.
Pia wanawake si kwamba...
Habari za asubuhi wana JF
Bila kupoteza muda, moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwanini watu waliooa wanahangaika na watu wasiooa? Mwanaume asiyeowa anaonekana kuna jambo analiepuka bila sababu...
Nlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa...
Hii ni kwa ma men.
Wengi wenu hamna wapenzi, mko single sema tu mna mabinti ambao wanawauzia bidhaa zao ingawa mnawaita wapenzi. Hata kama jana mlikutana mkazurura (kula bata) ukagharamia kila...
Wakuu poleni na msiba wa lowasa na hongereni kwa maandamano ya chadema mwanza.
Kuna mdada anafanya kaz ya saidia mapish yan kwa mama ntilie kaz yake n kupeleka oda kwa wateja, wapo jiran na ofsn...
Ushauri wenu ni muhimu sana.
Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu...
Ora mko poa????
Kwanza kabisa namshukuru mnyaazi MUNGU kwa kuniokoa kutoka kwenye ule ugonjwa wa akil.
Unajua mpiga nyeto hata umletee demu wa aina gani hawezi kuridhika ila we mpe tu picha ya...
Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi
Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa
Je uliwahi...
Unakuta umekubaliana na mdada unalipa lodge unamlipa yeye then kinachofuata style ni kifo cha mende hivi wakuu hili tatizo linatukuta sisi tu wa mikoan yenye baridi au nchi nzima,?? Mudada...
Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua...
Wana bodi salaam,
Kama title inavyojieleza hapo juu,nahitaji Mama over35 yrs kimahusiono,nimechoka kudate na viunder 20,Mimi kijana over25yrs najiweza kidogo kiuchumi,Alie serious pm me
Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume!
Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku.
Yaani watu wamebaki wanamcheka na...
Kwa utafiti niliofanya, kati ya wanawake 10, lazima 8 wawe wamevaa shanga kiunoni.
Sasa hivi umekuwa ni mtindo wa kisasa, kwa mwanamke wa kileo kuvaa hizo shanga au cheni kiunoni.
Imekuwa ni...
Jamani kuna mijitu hapa Tanzania wanawake na wanaume ni mashetani hatari, kuna wasichana na wakaka , wadada , wamama, wababe kabla hawajalala husikilizia milango kupata picha maghetto yetu Yana...
Wakuu kwema? Baada ya salam niende kwenye mada.
Ipo hivii kuna single mother nimezaa nae, m nilimkuta ana watoto wawili namimi nikabandika mmoja wakawa watatu.
Kipindi cha mahusiano yetu ugomvi...
Ipo hivi, niliingia mgogoro mkubwa na mke wangu chanzo ni kuwa; kuna siku nilikuwa nimekaa sitting room simu yangu ipo mezani mara sms ikaingia wife akawa ameona akaenda kuchukua simu ili asome...
kwa sasa kiukweli sitaki kabisa papuchi.... unanipenda nakupenda tunaenda sehemu nakupa MIC cheza nayo..... sitaki kabisa kujihusisha na papuchi magonjwa mengi sana na huko chini hakuna raha kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.