Huu urembo wa shanga unawasaidia nini?

Huu urembo wa shanga unawasaidia nini?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,242
Reaction score
62,405
Kwa utafiti niliofanya, kati ya wanawake 10, lazima 8 wawe wamevaa shanga kiunoni.

Sasa hivi umekuwa ni mtindo wa kisasa, kwa mwanamke wa kileo kuvaa hizo shanga au cheni kiunoni.

Imekuwa ni kitu muhimu kwa warembo, na kupelekea bila kuvaa hizo wanakuwa hawana ujasiri.

Sasa nawauliza, hizo shanga zinawasaidia nini?​
 
Ulianza kwa Wafrica toka zamani lakini hata sasa Wazungu wanatupia......Usicheze na Shanga zinasisimua hatari
 
Back
Top Bottom