Ampiga mkewe nusu kumuua kwa kosa la kuwachezesha wanae mchezo

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Dah, inasikitisha sana ndugu zanguni. Mke aambulia kipigo kitakatifu kilichosheheni ngumi, banzi jiwe kama alilokumbana nalo yule mwombolezaji wa Mh. Lowasa pale Ngarenaro, mikanda ya rasha rasha na ngumi peresu peresu usiku wa kuamkia jana.

Hii ni baada ya mumewe kugundua kuwa mkewe pamoja na wanae watatu wa kike akiwemo binti wa miaka 12 wanachezeshwa mchezo wa kukusanya pesa kwa pamoja kisha mmoja wao hupokea maokoto ndani ya wiki

Pesa yenyewe ni Tsh. 500 kwa siku, hivyo wote wanne kwa pamoja (akiwemo mama) hutengeneza kitita cha Tsh.14,000 ndani ya wiki

Mwanaume huyo alisikika akilaumu eti mwanamke anawafundisha pesa watoto wake angali wadogo, hivyo kuwafanya wawe na tamaa. Anatafuta pesa ili wanae wakifika shuleni watumie kwa kujivinjari, badala yake watoto wanawasilisha pesa hizo kwa mama yao mzazi na kwenda shuleni na 300, 300. Aliendelea kwa kusema kuwa amewahi kumkataza tabia hii ya kucheza michezo mkewe miaka mitatu iliyopita.

Mke aliadhibiwa mbele ya watoto ili wao wajifunze kuwa michezo hiyo ya pesa ya kinamama ni hatari kwa maisha yao. Hivyo wasije jaribu katika maisha yao. Kwamba Samaki mkunje angali mbichi

Je, alichofanya ni sahihi, ama tumlambe bakora?
 
_20240218_160740.JPG
 
Mkewe ameomba ushauri au kauchuna tu?Maana tunaweza kuingilia ugomvi hadi tukasababisha ndoa ivunjike halafu lawama zikarudi kwetu.Ngoja kwanza nitafute goso niweke kwenye kiko yangu.
 
Dah, inasikitisha sana ndugu zanguni. Mke aambulia kipigo kitakatifu kilichosheheni ngumi, banzi jiwe kama alilokumbana nalo yule mwombolezaji wa Mh. Lowasa pale Ngarenaro, mikanda ya rasha rasha na ngumi peresu peresu usiku wa kuamkia jana.

Hii ni baada ya mumewe kugundua kuwa mkewe pamoja na wanae watatu wa kike akiwemo binti wa miaka 12 wanachezeshwa mchezo wa kukusanya pesa kwa pamoja kisha mmoja wao hupokea maokoto ndani ya wiki

Pesa yenyewe ni Tsh. 500 kwa siku, hivyo wote wanne kwa pamoja (akiwemo mama) hutengeneza kitita cha Tsh.14,000 ndani ya wiki

Mwanaume huyo alisikika akilaumu eti mwanamke anawafundisha pesa watoto wake angali wadogo, hivyo kuwafanya wawe na tamaa. Anatafuta pesa ili wanae wakifika shuleni watumie kwa kujivinjari, badala yake watoto wanawasilisha pesa hizo kwa mama yao mzazi na kwenda shuleni na 300, 300. Aliendelea kwa kusema kuwa amewahi kumkataza tabia hii ya kucheza michezo mkewe miaka mitatu iliyopita.

Mke aliadhibiwa mbele ya watoto ili wao wajifunze kuwa michezo hiyo ya pesa ya kinamama ni hatari kwa maisha yao. Hivyo wasije jaribu katika maisha yao. Kwamba Samaki mkunje angali mbichi

Je, alichofanya ni sahihi, ama tumlambe bakora?
Mambo ya ndoa ni magumu nyie mliko nje hiyo ndo sababu mliopewa na mwanamke, ila ukweli ni kwamba kuna makosa mengi ndani ya pazia, uvumilivu uliishia hapo kwa mwanaume.
 
Back
Top Bottom