Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi.
Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani...
Hivi ni vifaranga vya ndege vilivyofariki kwa njaa vikiwa ndani ya kiota baada ya kumsubiri kwa muda mama yao awaletee chakula lakini kumbe mama yao alikuwa ameuawa na mtu asiyejua umuhimu wa uhai...
Dear ladies
If you have a good man, hold on to him.
And when I say a good man, I don’t mean a man who is perfect. But a man
who tries. He’s hardworking, will go above and beyond to make you...
Hi guys,
Hope mpo sawa,
Nimefikiria hili jambo baada ya juzi kuwa kwenye shughuli flani ya send-off ya rafiki yangu, na kumuona baba yake mzazi akilia machozi yaani ile lia huku anajikaza na...
Mambo yamebadilika wakuu
Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba.
Ila nyakati hizi mambo yamebadilika...
Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi...
Samahanini sana kwa kuleta nyuzi nyingi. Nimeanza kuishi pamoja na mke wangu mtarajiwa. Nimegundua anani cheat na jamaa mcheza pool flani ambaye yy anadai ni rafiki tu.
Huyu jamaa kuna siku juzi...
Hawa viumbe bhana, acheni tu. Ukiwakuta wamezungusha kiduara cha umbea majumbani, kwenye mikutano, ama saluni, kinachozungumziwa humo ni mapenzi pekee. Hawana kingine cha maana cha ku-share
Kila...
Mwanzon nilimpata mwanamke nikamuoa na tukazaa watoto, kiukweli nilimpenda sana kiasi kwamba asiponitafuta nikiwa mbali kwa nusu siku nitaumia sana. Basi alivyoona nimedata sana kwake akawa kiburi...
Ni kweli kuna baadhi ya wanaume na wanawake wana udhaifu ambao pengine hufanya ndoa kuwa na changamoto nyingi, lakini changamoto hizo haziondoi umuhimu wa ndoa.
Ndoa ni chimbuko la maendeleo ya...
Ukitaka kukutana na uvundo usioelezeka, basi tafuta demu mwenye umbo la tembo. Utajuta kwann ilimtaka.
Kutokana na mijasho inayomwagika hovyo mwilini fungus wametapakaa kwenye mikunjo na...
Mavazi haya ni ndoano ya kuvutia wanaume wengi kumuona mwanamke ni koloni lisilo na mtawala, kwamba bado yupo sokoni hana mme ama ana mme ila bado anataka attention ya wanaume wengine.
Kwema Wakuu!
Watu wazima wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wanaweza kunielewa nazungumzia nini. Pia wanawake Watu wazima wataelewa.
Vijana, huwezi kukuta Mwanamke anayejiuza pale Riverside...
Mchungaji maarufu kutoka Tanzania, Daniel Mgogo ameorodhesha sababu mbili kuu ambazo zinaweza kumfanya mwanaume asimsaliti mpenzi wake katika ndoa na kuchepuka.
Katika video ambayo Mgogo alipakia...
Wakuu suura....
Nina jamaa yangu kanipa kisa cha mkewe ambaye ni mfanyakazi wa shirika fulani, jamaa anadai mkewe kamwambia mfanyakazi mwenzie ambaye wanaheshimiana sana na wamekuwa pamoja...
Kuchoka ktk uhusiano huonekana kwa mtu kujitenga au kumuepuka mwenzi wake kwa sababu mbalimbali. Baada ya muda, mtu anaweza kujitenga kwa ufahamu au kwa makusudi kutokana na hisia za kutojali na...
Bila shaka mpo kwema!
Vijana, ukiona upo na mpenzi, mchumba au mke ambaye mkigombana kidogo analeta vitisho vya kitoto. Wakati mtu mzima hatishiwi Nyaya.
Mmegombana alafu ati anajikusanyisha...
Nimevuka mitihani ya stress za mapenzi, sasa moyo wangu ni wa jiwe wenye kuwafaa wanawake wote, hivyo basi mwanamke yeyote sina muda wa kufuatilia nyendo zake wala kukagua simu wala maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.