Anaogopa kuja nyumbani kwangu

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu poleni na msiba wa lowasa na hongereni kwa maandamano ya chadema mwanza.

Kuna mdada anafanya kaz ya saidia mapish yan kwa mama ntilie kaz yake n kupeleka oda kwa wateja, wapo jiran na ofsn kwangu. Niliamua kumsaidia baada ya kupata taarifa mumewe amemtelekeza na kaoa mwanamke mwngn nlimwambia kwangu kuna vifaa kadhaa vya kufanyia kaz nimpe hivyo vitu na mtaji kwa makubaliano awe ananiletea buku kila sku akakubali bahat nzuri mitaa anayoish ndipo na mimi naish nikamuelekeza home na nikampa taarifa mwanamke ninayeish naye kwmb atakuja mdada umuonyeshe vitu vile vya biashara na uende nae kwake ukapajue ndpo nitamkabz

Zlipta sku kadhaa sku moja kanitumia ujumbe kwmb anaenda atamkuta mwanamke wng nkamwambia nenda utamkuta bt hakwenda sku nyngn tena akasema anaenda pia hakwenda sa leo nimekutana nae anasema eti anaogopa eti pengne mwanamke wng atawaza mengne juu yake nkamwambia hapn mi nikikutaka si lazma uende kwng. Sa wakuu huyu mdada nimsaidieje maana naona kama hayuko serious.
 
Kichwa chako kinafanya kazi vema kabisa?Umtume mwamamke akachukue vitu vihusuvyo(hasa wanawake)mapishi kwa mwanamke mwenzie na hawafahamiani?Unatarajia nini kitokee na hawafahamiani?
 
sa huo ni upuuz wao wanawake pia mimi siburuzwi na mwanamke nina misimamo yng isiyoyumbshwa na wanawake mpk namwambia nenda mi si mpuuz najielewa.
 
anasema eti anaogopa eti pengne mwanamke wng atawaza mengne juu yake nkamwambia hapn mi nikikutaka si lazma uende kwng. Sa wakuu huyu mdada nimsaidieje maana naona kama hayuko serious.

Anataka mundende huyo...

Una miaka mingapi mzee baba hadi unashindwa kujua wanawake wana lugha yao...!!
 
Wakuu poleni na msiba wa lowasa na hongereni kwa maandamano ya chadema mwanza.

Kuna mdada anafanya kaz ya saidia mapish yan kwa mama ntilie kaz yake n kupeleka oda kwa wateja, wapo jiran na ofsn kwangu. Niliamua kumsaidia baada ya kupata taarifa mumewe amemtelekeza na kaoa mwanamke mwngn nlimwambia kwangu kuna vifaa kadhaa vya kufanyia kaz nimpe hivyo vitu na mtaji kwa makubaliano awe ananiletea buku kila sku akakubali bahat nzuri mitaa anayoish ndipo na mimi naish nikamuelekeza home na nikampa taarifa mwanamke ninayeish naye kwmb atakuja mdada umuonyeshe vitu vile vya biashara na uende nae kwake ukapajue ndpo nitamkabz

Zlipta sku kadhaa sku moja kanitumia ujumbe kwmb anaenda atamkuta mwanamke wng nkamwambia nenda utamkuta bt hakwenda sku nyngn tena akasema anaenda pia hakwenda sa leo nimekutana nae anasema eti anaogopa eti pengne mwanamke wng atawaza mengne juu yake nkamwambia hapn mi nikikutaka si lazma uende kwng. Sa wakuu huyu mdada nimsaidieje maana naona kama hayuko serious.
JF inaenda kasi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom