Nikipona nitarudi upya kwa herini, naombeni sala zenu

Ndugu zangu, na waaga kwa muda, sijui nitarudi lini Jf kuungana na nyie tena. Ila maombi yenu nipone haraka kutokana na ajali ya barabarani niliyopata ni muhimu sana.

Pia wanawake si kwamba siwapendi na wapenda tatizo mimi na sema ukweli. Msinichukie wala msifurahie niombeeni sana.

Mwenyezi Mungu awatunze ndugu zangu.
Weka wazi tatizo humu kuna waponuaji wa kila aina
 
Ndugu zangu, na waaga kwa muda, sijui nitarudi lini Jf kuungana na nyie tena. Ila maombi yenu nipone haraka kutokana na ajali ya barabarani niliyopata ni muhimu sana.

Pia wanawake si kwamba siwapendi na wapenda tatizo mimi na sema ukweli. Msinichukie wala msifurahie niombeeni sana.

Mwenyezi Mungu awatunze ndugu zangu.
Pole utapona kwa nguvu za mwenyezi Mungu
 
Ndugu zangu, na waaga kwa muda, sijui nitarudi lini Jf kuungana na nyie tena. Ila maombi yenu nipone haraka kutokana na ajali ya barabarani niliyopata ni muhimu sana.

Pia wanawake si kwamba siwapendi na wapenda tatizo mimi na sema ukweli. Msinichukie wala msifurahie niombeeni sana.

Mwenyezi Mungu awatunze ndugu zangu.
Pole mkuu,

Mimi pia jumanne nilipata ajar ya kugongwa na gari nikiwa kama abiria kwenye boda boda Kuna Uzi wangu pia humu JF

Nimevunjika mguu wa kushoto twice it's first time kupata majanga kama haya nipo kitandani siwez kujigeuza.........

Nikipima pressure yangu ipo juu Kwa izi siku zote nikiwa hapa hospitalini... pia sijawai kua kitandani hivi Kuna muda unakata tamaa hofu woga na sometimes machozi na kusononeka kukosa Raha...
Nashindwa kupata appetite ya kula chakula

Wazazi wana hofu juu yangu BABA na MAMA,
Mdogo angu kanambia ni bora angeumia yeye nikamwambia stop it....
All in all,
Nashukuru Mungu still nipo hai napumua maana hakuna binadamu special

Mwamini MUNGU Kila kitu kitakua powaa Tupo pamojaa
 
Ndugu zangu, na waaga kwa muda, sijui nitarudi lini Jf kuungana na nyie tena. Ila maombi yenu nipone haraka kutokana na ajali ya barabarani niliyopata ni muhimu sana.

Pia wanawake si kwamba siwapendi na wapenda tatizo mimi na sema ukweli. Msinichukie wala msifurahie niombeeni sana.

Mwenyezi Mungu awatunze ndugu zangu.
Pole mkuu
 
Back
Top Bottom