Binti anaonesha kunijali na kunipenda lakini moyoni kwangu hata sina hisia naye, tatizo litakuwa ni nini?

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,331
4,857
Mwanzon nilimpata mwanamke nikamuoa na tukazaa watoto, kiukweli nilimpenda sana kiasi kwamba asiponitafuta nikiwa mbali kwa nusu siku nitaumia sana. Basi alivyoona nimedata sana kwake akawa kiburi na kunidharau, akawa namfuma na wanaume yeye hajali.

Kiukweli niliumia mwisho nikaamua liwalo na liwe, nikatafuta mchepuko angalau kujipoza. Basi nikapata kabinti kadogo dogo ka miaka 18, nikawa nakajali sana ila sio kukapenda taratibu. Binti akaanza kunipenda na kunijali sana nikaona ili apunguze huu upendo nikamchana nikamwambia mimi nimeoa na nina watoto na nikampa sababu kwanini nimekuja kwako, kwahiyo uchague moja.

Cha kushangaza binti alikubaliana kuendelea kuwa na mimi na kunishikia ujauzito, wakuu hapa nipo njia panda na sio siri najicommand kumpenda lakin haiwezekani na kumfanyia vituko tuachane hili sitaki kulisikia kwa maana nikikumbuka niliyokuwa napitia hapo nyuma nahisi kama Mungu kasikia kilio changu nimepata ambae ndiye nilikuwa namuhitaji ila sina hisia nae kabisa, mapenzi yenyewe huwa ananilazimisha yeye.
 
Mungu anisaidie sitamani kuzaa na mwanamke ambae sina mpango wa kumuoa!
Mtoto na mama yake watapata tabu sana kwaajili yako
 
Back
Top Bottom