fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,415
- 7,968
Ni kweli kuna baadhi ya wanaume na wanawake wana udhaifu ambao pengine hufanya ndoa kuwa na changamoto nyingi, lakini changamoto hizo haziondoi umuhimu wa ndoa.
Ndoa ni chimbuko la maendeleo ya famili na ndio tofali la kwanza katika ujenzi wa nchi. Wewe dada na wewe kaka ambao hujaoa au kuolewa, leo weka nia ya kutafuta mtu. Ukishindwa kutana na watu wanaosaidia watu kuoana wapo wengi hapo ulipo.