Hawana kingine cha kuzungumza tofauti na mahusiano ama kuwaongelea wanaume

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Hawa viumbe bhana, acheni tu. Ukiwakuta wamezungusha kiduara cha umbea majumbani, kwenye mikutano, ama saluni, kinachozungumziwa humo ni mapenzi pekee. Hawana kingine cha maana cha ku-share

Kila mmoja utamsikia akijisifu kuwa yeye ni bingwa wa kuumiza, kuchuna, kunyenyekewa, kupewa pesa nyingi n.k Inafikia hatua unamtazama anayejisifia mbele ya wenzie unajikuta kucheka tu, maake hafananii, ila utasikia "Ananililia kila siku turudiane". Na pindi wanapomuona mwanaume yuko karibu yao, hujikuta wakijilimbwasa zaidi, kila mmoja wao apate kuonekana huku wakikutagi kajicho ubavu. Shenzli sana

Hii haijalishi umri, hivi vigoli (teenagers), wakina mama hata wazee wa makamo. Kinachonisikitisha sana, unaweza kuta vibinti vya 17 yrs vimekaa kitako na kina mama wa 30 to 40 yrs wakiwemo Single Mother huku wanapiga stories za wanaume. Ndo maana huwa nasema akili za wanawake wote ni zile zile

Hawana cha ziada zaidi ya mapenzi, na ndio maana wengi wao hujazana humu MMU. Huku mitaani si ajabu kukuta mama na mwanae wanagombania mwanaume.

Shenzli sana
 
alaa alaaa alaaa kumbe ndio ivo tena 🐒

kwahyo wakawa wanaseme yaani amekukamatra vizur hufurukuti wala hupindui, akiomba elfu 20 ni chap unatuma, kama huna unaenda kausha damu kukopa dah🐒
 
Back
Top Bottom