Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mke kama huyu kwanza muda wa kutoka nyumbani kwenda mihangaikoni ukifika unaanza kuwaza unaondokaje? Mke kama huyu huwezi hata kucheat, ukitaka kucheat nafsi inakusuta na unaona kabisa...
4 Reactions
9 Replies
755 Views
Ni staili moja tamu sana na hii ni mahususi kwa wale wakina dada wenye visima. Yaani mwanaume unalala chali kama kawaida halafu demu anakuja kwa juu....ni kama vile anaikalia halafu anaweka nne...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Kwakwel nimekumbana na Hilo swali kwa miaka saba sasa, na bado sina dalili ya kuoa kabisa. Mbaya zaidi wanaoongoza kuniuliza ni wake za watu, sasa sijui ni kwanini maana madem ambao...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
Hawa age go munasemaga sijui third floor, wazee umri 27 kwenda juu hawana mtoto wala ndoa wanatafuta ndoa hata kwa kufosi mbona mimi siwaoni huku mtaani naona vitoto tu. Mimi nawatafuta sana ila...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Wasalam, Habari hum,natafuta mke wakuishi naye sichagui sibagui yoyote sawa kigezo:uwe umeajiliwa(mimi bado nasoma) umri:wowote(mimi 22) Ntakupenda na kukulinda kama mboni ya jicho langu mwaaah!
2 Reactions
7 Replies
765 Views
Wakuu Umuofia, Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho. Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Wajumbe hodiii.Bila kupoteza muda nichekeche mada. Kuna hili swala la kuishi karibu ex alooo ni jambo gumu sana hasa pale unapokuta hamjaachana kwa ugomvi,yaani usipocheck anytym chawezanuka(even...
4 Reactions
11 Replies
648 Views
Hellow african, Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza...
23 Reactions
190 Replies
11K Views
Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika. Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Waungwana, Maeneo tunayojidai ni maeneo ya kazi au shughuli zetu tunazotenda kila siku ni sehemu ambazo zina michakato kiutendaji na fani na maudhui mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku...
49 Reactions
102 Replies
7K Views
Jamani mimi napenda sana harufu ya uvundo wa nguo yaani unakuta nguo imewekwa kabatini ikavunda yaani ile harufu naipenda mpk natamani kula nguo Harufu ya mchanga mvua ikinyeshaa lazima nichote...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Ni aibu na fedhea sana... Inakera, inachefua na kusikitisha sana.. Inaamsha hasira sana, kuona au kuskia mtoto, ndugu, jamaa au rafiki wa familia amekumbwa na uchafu, unyama au uharibifu huu...
0 Reactions
2 Replies
508 Views
Hello. Ni nani aliye na Hizi tabia . 1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu. 2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu. 3. Ninafanya jambo...
16 Reactions
79 Replies
4K Views
A life of a "really man" is incomplete without a really "woman" who has merits of being a "wife". Not every man has a merits of being husband, similarly not every woman has a merits to become a...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Halafu unakuta ni pisi ya kwenda + wife material, umemkuta yupo 22 akiwa bikra (mali adimu), hazijui jeans wala suruali, anakupenda kuzidi unavyompenda. Shida inakuja mwanzoni wala alikuwa...
3 Reactions
15 Replies
751 Views
Eti ebu njooni mnijibu sisi sijui tutaolewa na nani? Mwanaume akikutongoza sasa hivi anakuuliza unaushi wapi, ukimwambia nyumbani Anakuuliza tena kwako au kwenu? Sasa ukijiroga ukasema unaishi...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume wamezaliwa na uwezo wa kufanya mapenzi Tatizo kubwa ambalo naona linawasumbua watu wengi ni kukosa hisia na sio kutokuwa na uwezo Tatizo lilianzia pale ambapo...
4 Reactions
8 Replies
884 Views
Kwanza kabisa shukrani za dhati kabisa zimuendee maumba wa mbingu na ardhi.. Mimi ni mlinzi katika moja ya apartment zilizopo masaki Dar es Salaam, nilipata mafunzo yangu ya mgambo mkoani Pwani...
17 Reactions
80 Replies
4K Views
Ujumbe huu huwahusu zaidi wanawake ili kiwajengea stara kwa wenza wao na kiwapa moyo ili kutowatoa mchezoni, hasa kimawazo, wakati wa tendo. Ewe mwanamke, epuka kauli hizi. Badala yake, tafuta...
15 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom