Je, huyu mwanamke ana nia njema na mimi?

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Kwanza kabisa shukrani za dhati kabisa zimuendee maumba wa mbingu na ardhi..

Mimi ni mlinzi katika moja ya apartment zilizopo masaki Dar es Salaam, nilipata mafunzo yangu ya mgambo mkoani Pwani Wilayani Mkuranga..

Ni story ndefu Sana hadi kufikia kuajiriwa na makampuni binafsi na watu binafsi. Sasa nilipofikia ni kwamba nimebahatika kupata mchumba wa kimarekani. Mimi ni mcheshi Sana halafu nina sifa ya usafi sana ninapokuwa kazini..

Mwanzo kabisa wakati na endelea na majukumu yangu tulitokea kuzoeana Sana na huyu dada wa kizungu. Kuna siku moja alikuja amelewa Sana, akaniomba nimsaidie kumbebea mizigo yake, ukweli nilimuongoza mpka chumbani. Kisha akaniambia nimsaidie kutandika kitanda. Mimi bila hiyana nilimsaidia na Kisha yeye kunipatia 15k na Kisha tukaagana tokea siku Ile mazoea yakawa makubwa sana hadi ilipofikia siku moja alinitoa out.

Tulikaa sehemu na kunjwa sana nakumbuka alilewa Sana na Mimi kwa Mara ya kwanza ndiyo niliendesha range Rover. Sasa kiukweli siku ile tulivunja amri ya sita...Mimi nililichukulia tendo kawaida Sana kusema ukweli nilinyonya Sana yaani nilinyonya kisawasawa (uchi)

Kanitafutia nida, kanifungulia akaunti benki. Nina milioni moja za kutumia yeye kaenda Zanzibarakirudi tunaondoka kwenda Amerika

Ngoja ninywe pweza kwanza narudi...
 
Back
Top Bottom