Hawa Age imeenda ndio nawataka mbona siwaoni mimi, munawapataga wapi

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,890
4,057
Hawa age go munasemaga sijui third floor, wazee umri 27 kwenda juu hawana mtoto wala ndoa wanatafuta ndoa hata kwa kufosi mbona mimi siwaoni huku mtaani naona vitoto tu.

Mimi nawatafuta sana ila naviona vitoto tu nikisema basi haya ngoja nichukue hivi vitoto wadogo zangu wananifuata ooh bro nimekaa mimi hapo.

Age goo mupo wapi tupange maisha
 
Una vigezo vyao.

Yaani uhakika wa kipato unao uwezo wa kuwahudumia hudumia na kuwatoa toa out

Pia kama Geto unalo limenyooka hapo utawapata kibao utachagua mwenyewe.

Hao wa 27 warembo Nakupa code namba moja tembelea maduka ya simu ya infinix ,oppo, samsung na tecno utakuja nishukuru

Kisha nitakupa code namba mbili
 
Hawa age go munasemaga sijui third floor, wazee umri 27 kwenda juu hawana mtoto wala ndoa wanatafuta ndoa hata kwa kufosi mbona mimi siwaoni huku mtaani naona vitoto tu.

Mimi nawatafuta sana ila naviona vitoto tu nikisema basi haya ngoja nichukue hivi vitoto wadogo zangu wananifuata ooh bro nimekaa mimi hapo.

Age goo mupo wapi tupange maisha
Ww uko floor ya ngapi kwanza tujue?? Na mshiko unao sio kutaka kutusumbua mashangazi kumbe age go na pesa nazo huna 🤣🤣🤣🤣
 
Hawa age go munasemaga sijui third floor, wazee umri 27 kwenda juu hawana mtoto wala ndoa wanatafuta ndoa hata kwa kufosi mbona mimi siwaoni huku mtaani naona vitoto tu.

Mimi nawatafuta sana ila naviona vitoto tu nikisema basi haya ngoja nichukue hivi vitoto wadogo zangu wananifuata ooh bro nimekaa mimi hapo.

Age goo mupo wapi tupange maisha
Mkuu ukisikiliza ya JF utakesha. Ukisomq news za wadau humu unaweza jiona wewe ndio umechelewa kwa kila kitu. Kuna vitu vingi sana wadau wanachangiaga humu ila havina uhalisia na kitaabkulivyo.

Mkuu mademu huwa hawafiki 27 bila kuzaa, awe ameolewa au la, ila ni lazima atakua amezaa. Ukimkuta hana mtoto jua anachangamoto zabuzazi, ametoa mimba au alizaa bahati mbaya. Kufika 3rd floor bila mtoto huwa tunaweza me tu. Mimi mademu wengi ninao wajua wenye kuanzia 27, 28... wana watoto, kuna mmoja ana 34 sasa hana mtoto ila sijawahi kujua ana shida gani ninachojua alikua anafanya kazi na shirika la dini, alidai hawarusu kupata mimba kabla ya ndoa. Mwaka jana walimtema sasa anataka tufanye jambo alee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom