Je, ni nani ana tabia kama zangu?

Utawala2025

JF-Expert Member
Oct 20, 2023
332
1,063
Hello.

Ni nani aliye na Hizi tabia .

1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.

2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.

3. Ninafanya jambo ninapojisikia Tu,mfano mtu anaweza kunitumia sms kesho nitaiibu muda wowote ninaoutaka mimi hata nikiblue tick.

4. Nakaribia miaka 30 ila sina rafiki yeyote niliyeanza nae tuseme sekondari au chuo wote nimejikuta nawapotezee mara baada ya kuona wao wamenipita mafanikio sijisikii kuendelea kumake bond nao.

5. Niko karibu na watu mbalimbali ila wao uanza kufanikiwa mapema kabla ya mie iwe biashara ,kazi mpaka nahisi nimerogwa.

6. Ni mtu nisiyejali kumtafuta mtu kwa simu labda hadi tatizo hasa msiba ila sina mazoea ya kuwasialiana na watu kwa simu au njia yeyote.

7. Siko Romantic hata mke wangu anaumia Juu ya hilo.

8. Kitu kidogo nawaza mpaka naumwa kichwa nikikosa jibu kama niko free ninaweza kulala kutwa nzima au simu tu.

9. Ni mtu wasiwasi na Muda wote nimekuwa nikiwaza kufakufa tu.

10. Sina interest na mapenzi japo nina mke.
 
_20240301_003423.JPG
 
Wewe ni mvivu uliyepitiliza.

Tafuta kazi ambayo itakufanya unakuwa bize muda wote,hata mawazo ya kufakufa yatapotea yenyewe.

"An empty mind is a devil workshop".
Nafanya kazi sio niko home nina familia .

Tena kazi inanikeep busy sana sema ninapata off pia.
 
Hello.

Ni nani aliye na Hizi tabia .

1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.

2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.

3. Ninafanya jambo ninapojisikia Tu,mfano mtu anaweza kunitumia sms kesho nitaiibu muda wowote ninaoutaka mimi hata nikiblue tick.

4. Nakaribia miaka 30 ila sina rafiki yeyote niliyeanza nae tuseme sekondari au chuo wote nimejikuta nawapotezee mara baada ya kuona wao wamenipita mafanikio sijisikii kuendelea kumake bond nao.

5. Niko karibu na watu mbalimbali ila wao uanza kufanikiwa mapema kabla ya mie iwe biashara ,kazi mpaka nahisi nimerogwa.

6. Ni mtu nisiyejali kumtafuta mtu kwa simu labda hadi tatizo hasa msiba ila sina mazoea ya kuwasialiana na watu kwa simu au njia yeyote.

7. Siko Romantic hata mke wangu anaumia Juu ya hilo.

8. Kitu kidogo nawaza mpaka naumwa kichwa nikikosa jibu kama niko free ninaweza kulala kutwa nzima au simu tu.

9. Ni mtu wasiwasi na Muda wote nimekuwa nikiwaza kufakufa tu.

10. Sina interest na mapenzi japo nina mke

Madr wenyewe wana shida ya akili
Tatizo kubwa hapo linasababisha hayo yote ni kuchelewa kulala unaweza sema utani

Hilo tatizo ukilitibu umemaliza hayo yote
Nashukuru nimepata mtu wa sample....

Wewe umeharibu mfumo wa usingizi unaitwa circadian clock... yaani kupata usingizi muda sahihi inatakiwa uwe unalala kuanzia saa tano kila siku ili kurekebisha mfumo huu wa circadian sleep

Amka mapema sana hakikisha jua la asubuhi linakupiga kila siku inaitwa light therapy hii

Ukilala hivi kwa muda wa week tatu
Matatizo yako yote yataisha ...mimi niamini mimi

Nakushauri tumia dawa diazepam /valium kwa muda wa week moja ikusaidie kuweka mfumo sawa circadian clock hizo valium tumia week tu...hizi dawa kuwa nazo makini usitumie zaidi ya week na meza muda wa saa tano kamili usiku ikipita hapo usimeze

Acha kutumia simu muda wa kulala hii ndo shida yako kuuu nunua simu ya kitochi kipindi hiki kuchat tumia computer

Nimekusaidia haya kama mtaalam wa hilo tatizo mwenye experience ....

So ukiamka unakuwa moodless maana umelala muda sio sahihi unapoteza mood kufanya jambo lolote.. .
 
Hello.

Ni nani aliye na Hizi tabia .

1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.

2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.

3. Ninafanya jambo ninapojisikia Tu,mfano mtu anaweza kunitumia sms kesho nitaiibu muda wowote ninaoutaka mimi hata nikiblue tick.

4. Nakaribia miaka 30 ila sina rafiki yeyote niliyeanza nae tuseme sekondari au chuo wote nimejikuta nawapotezee mara baada ya kuona wao wamenipita mafanikio sijisikii kuendelea kumake bond nao.

5. Niko karibu na watu mbalimbali ila wao uanza kufanikiwa mapema kabla ya mie iwe biashara ,kazi mpaka nahisi nimerogwa.

6. Ni mtu nisiyejali kumtafuta mtu kwa simu labda hadi tatizo hasa msiba ila sina mazoea ya kuwasialiana na watu kwa simu au njia yeyote.

7. Siko Romantic hata mke wangu anaumia Juu ya hilo.

8. Kitu kidogo nawaza mpaka naumwa kichwa nikikosa jibu kama niko free ninaweza kulala kutwa nzima au simu tu.

9. Ni mtu wasiwasi na Muda wote nimekuwa nikiwaza kufakufa tu.

10. Sina interest na mapenzi japo nina mke.

namba 10 Rud nyuma angalia historia ya utotoni labda ulinyanyaswa kingono
 
Niko hivyohivyo, na Mke mwenyewe simtaki vilevile ,kulala bila kula kwangu kawaida tu.
Kumfurumusha mwanamke wangu nikiona ananisumbua ni kila leo,badae najutia.
Kulala naweza lala nakulala tena na kulala tena km mfu.
Kuongea na watu ndo kabisaaa sitaki hadi maza analalamika ambaye ndio mtu naongea nae mostly.
 
Wewe ni lazy (mvivu) tuu huna ugonjwa wowote, anza kuchangamka hata kwa kusafisha nyumba na kuamka mapema, kama una sehemu ya kuweka bustani Lima mbogamboga ili uwe busy na kuona matunda yako, ukiweza uwe unatembea, kama Kuna kiwanja karibu kacheze mpira au uende Gym kufanya mazoezi, Cha muhimu Kuwa busy na tafuta kitu Cha kukutoa jasho na kukufanya utumie akili yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom