Jamani mimi napenda sana harufu ya uvundo wa nguo yaani unakuta nguo imewekwa kabatini ikavunda yaani ile harufu naipenda mpk natamani kula nguo
Harufu ya mchanga mvua ikinyeshaa lazima nichote niule
Harufu ya vumbi mtu akifagiaa
Harufu ya udongo
Yaani nipo hivyo siku zote hivi itakuwa ni tatizo au ni kawaida kwa wengineo
Harufu ya mchanga mvua ikinyeshaa lazima nichote niule
Harufu ya vumbi mtu akifagiaa
Harufu ya udongo
Yaani nipo hivyo siku zote hivi itakuwa ni tatizo au ni kawaida kwa wengineo