Umeoa au umeolewa halafu unamuuliza ambaye hajaoa anaoa lini ili iweje?

Black poison The Factor

JF-Expert Member
May 31, 2020
857
1,263
Wakuu kwema?

Kwakwel nimekumbana na Hilo swali kwa miaka saba sasa, na bado sina dalili ya kuoa kabisa.

Mbaya zaidi wanaoongoza kuniuliza ni wake za watu, sasa sijui ni kwanini maana madem ambao wapo single sioni wakiniuliza hivyo.

Mtu umeolewa halafu unamuuliza ambaye hajaoa unaoa lini ili iweje?

Wewe umeshaolewa Lea ndoa yako mengine waachie wenyewe.
 
Mkuu uko na age ngapi ili tufarijiane.

Mimi 29 na bado sina hata dalili za kuoa
 
Ila siku hizi ndoa watu wanazikimbia sana maana tumekua na wanawake matapeli mauaji.Tena kama una mali ndo ukajichabganya kuoa lazima watu watakupiga chepe tu ukiruka chepe ngoma mnagawana nusu kwa nusu.
Ukikumbuka ulivo pata shida kuzimiliki hizo mali harafu leo kuna mtu anazichukua kirahisi hivi unaishia kupata ma presha mara kisukali unakufilia mbali so sad
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom