Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa

sitagliptin

JF-Expert Member
Mar 10, 2023
1,080
2,308
Nahisi kuchanganya sana, hukumu tar 8 mwezi huu, shida yangu sio kuachana naye au kwamba siwezi maisha bila yeye bali naumia sana swala kugawana mali kichwa inawaka moto na katika ukweli amenikuta tayari nina maisha yangu, nyumba viwanja na mengine ila leo hii anataka mgawanyo.

Naamini kabisa ikiwa kitatokea hivi basi uchumi wangu utashuka na kuyumba kwa zaidi ya 70%, ni kama kuanza upya maisha, mipango yangu itakwama ghafla.

Inaniuma.. inaniuma.. inaniuma! Umri wangu ni kijana ambaye nimejitafuta na nikajipata kwa sehemu fulani. Alhamduallah.

Kuuuza mali akili haijawa tayari kuyapokea haya, sipo tayari kwa namna yoyote. Nasubir Mungu anitendee haki kama kweli yupo hata ruhusu haya na akiruhusu haya yatokee inaweza kuwa ndio mwanzo na mwisho wa kusali au kutoa sadaka, mwanzo na mwisho wangu kuabudu, haiwezekani.

Najua wapo wataonitukana kama ambavyo imekuwa kawaida, namwachia Mungu, huenda mimi sio haki yangu hata kuishi ila wao wanayo.

Mwanamke mmoja anaweza anaweza sababisha ukachukia wote.

We Mungu weeeeee, siku zinavyoenda afya yangu inazirota naiona kabisa, mvi zinadizi kuongezeka kwa stress, mambo yangu na miradi inasimama, ufanisi hakuna tena.

Jina langu pia ni kubwa sana kibiashara mkoa nilipo katika umri huu wa miaka 34 lakini huenda anguko likawa kubwa kuliko chochote ambacho nimewahi shuhudia kikianguka.

Tuombeane amani. Nimejikuta nakumbana na maadui wengi ambao sikuwahi hata kuwakosea. Leo wanashangilia na kumtakia mema mwanamke apate anachotaka!

Nahitaji msaada sana kuliko fedhea, lawama au vicheko.
 
Sheria ziko wazi.
Kila mmoja atapewa jasho lake.
Kama uchumi wako ulitegemea uwepo wake kwa asilimia 70% basi unahaki ya kushuka kwa kiwango hikohiko.

Mtagawana mlivyochuma pamoja. Mali yako haitaguswa wala yake hutaigusa.
Muhimu ni vielelezo basi.

Sasa kama amekuzidi kete kwenye vielelezo. Aidha uliandika majina yake kwenye Mali ulizochuma. Au hizo mali alizozikuta ukaandika majina yake au zipo katika umiliki wenu basi huna ujanja
 
Pole sana usikate tamaa. Kama wew ni mfanyabiashara chukulia hio kama hasara umepata then tafuta namna ya kuendelea.

Ukikata tamaa maisha yako yakazorota ndio watakucheka zaidi. Kaza moyo PAMBANA. Na mungu usimtupe ana maana kuyaruhusu hayo
 
1709396599803.jpg
 
Nahis kuchanganya sana hukumu tar 8 mwezi huu
Shida yangu sio kuachana naye au kwamba siwezi maisha bila yeye

Naumia sana swala kugawana mali kichwa inawaka moto na kayika3 ukweli wa amenikuta tayar nina maisha yangu nyumba viwanja na mengine
Ila leo hii anataka mgawanyo

Naamini kabisa ikiwa kitatokea hivi
Basi uchumi wangu utashuka na kuyumba kwa zaid ya 70%
Ni kama kuanza upya maisha
Mipango yangu itakwama ghafla

Inaniuma inaniuma inaniuma
Umri wangu ni kijana ambaye nimejitafuta na nikajipata kwa sehemu flan
Alhamduallah

Kuuuza mali akili haijawa tayar kuyapokea haya
Sipo tayar kwa namna yoyote
Nasubir Mungu anitendee haki kama kweli yupo hata ruhusu haya

Na akiruhusu haya ya itokee
Inawez kuwa ndo mwanzo na mwisho wa kusali au kutoa sadaka
Mwanzo mwisho wangu kuabudu haiwezekani

Najua wapo wataonitukana kama ambavyo imekuwa kawaida
Namwachia Mungu
Huenda mimi sio haki yangu hata kuishi ila wao wanayo

Mwanamke mmoja anaweza anaweza sababisha ukachukia wote

We Mungu weeeeee

Siku zinavyoenda afya yangu inazirota naiona kabisa

Mvi zinadizi kuongezeka stress

Mambo yangu miradi inasimama

Ufanis hakuna tena

Jina langu pia ni kubwa sana kibiashara mkoa nilipo katika umri huu
At age of 34 lakini huenda anguko likawa kubwa kuliko chochote ambacho nimewahi shuhudia kikianguka

Tuombeane amani
Nimejikuta nakumbana na maadui wengi ambao sikuwahi hata kuwakosea
Leo wanashangilia na kumtakia mema mwanamke apate anachotaka
Mamaee walai

Nahitaji msaada sana kuliko matusi na lawama au vicheko
Aseee
 
Ajiri mwanasheria. Onesha amekukuta na hivyo vitu so hajachangia chochote. Kama ni kampuni una nyaraka za kuanzisha. Je ilianzishwa lini, kama amefanya kazi huko kwenye kampuni amelipwa sh ngapi? Pia kama hakua mfanyakazi je wewe ulilipwa sh ngapi na ulikua unatoa matumizi nyumbani. Ana haki na mapato yako kama wewe toka ulipomuoa. Ukiweza kuonesha ulitumia kusomesha na kutunza familia then umemuweza. Usiumie bure ukakufuru.
 
Nahis kuchanganya sana hukumu tar 8 mwezi huu
Shida yangu sio kuachana naye au kwamba siwezi maisha bila yeye

Naumia sana swala kugawana mali kichwa inawaka moto na kayika3 ukweli wa amenikuta tayar nina maisha yangu nyumba viwanja na mengine
Ila leo hii anataka mgawanyo

Naamini kabisa ikiwa kitatokea hivi
Basi uchumi wangu utashuka na kuyumba kwa zaid ya 70%
Ni kama kuanza upya maisha
Mipango yangu itakwama ghafla

Inaniuma inaniuma inaniuma
Umri wangu ni kijana ambaye nimejitafuta na nikajipata kwa sehemu flan
Alhamduallah

Kuuuza mali akili haijawa tayar kuyapokea haya
Sipo tayar kwa namna yoyote
Nasubir Mungu anitendee haki kama kweli yupo hata ruhusu haya

Na akiruhusu haya ya itokee
Inawez kuwa ndo mwanzo na mwisho wa kusali au kutoa sadaka
Mwanzo mwisho wangu kuabudu haiwezekani

Najua wapo wataonitukana kama ambavyo imekuwa kawaida
Namwachia Mungu
Huenda mimi sio haki yangu hata kuishi ila wao wanayo

Mwanamke mmoja anaweza anaweza sababisha ukachukia wote

We Mungu weeeeee

Siku zinavyoenda afya yangu inazirota naiona kabisa

Mvi zinadizi kuongezeka stress

Mambo yangu miradi inasimama

Ufanis hakuna tena

Jina langu pia ni kubwa sana kibiashara mkoa nilipo katika umri huu
At age of 34 lakini huenda anguko likawa kubwa kuliko chochote ambacho nimewahi shuhudia kikianguka

Tuombeane amani
Nimejikuta nakumbana na maadui wengi ambao sikuwahi hata kuwakosea
Leo wanashangilia na kumtakia mema mwanamke apate anachotaka
Mamaee walai

Nahitaji msaada sana kuliko matusi na lawama au vicheko
Na unaonekana unamjua Mungu. Mwite Kwa Jina lake anaitwa Yesu. Mwambie akili zangu zimefika mwisho. Nimebakiwa na jina lako peke yake. Niongoze maana sijui nifanyeje.
 
Sheria ziko wazi.
Kila mmoja atapewa jasho lake.
Kama uchumi wako ulitegemea uwepo wake kwa asilimia 70% basi unahaki ya kushuka kwa kiwango hikohiko.

Mtagawana mlivyochuma pamoja. Mali yako haitaguswa wala yake hutaigusa.
Muhimu ni vielelezo basi.

Sasa kama amekuzidi kete kwenye vielelezo. Aidha uliandika majina yake kwenye Mali ulizochuma. Au hizo mali alizozikuta ukaandika majina yake au zipo katika umiliki wenu basi huna ujanja
Doc zote zinasoma majina yangu
 
Back
Top Bottom