Wanajamii mko pouwaa.Kuna swala la kiufahamu kuhusu mtoto anayepatikana mzazi (Baba)akiwa mzee na ambaye anapatikana mzazi (Baba)akiwa kijana je kibaiolɔjia wanawezatofautiana ?Ni swala ambalo limekuwa likimchanganya rafiki yangu(ke) ambaye amepata rafiki ila umri umeemda (me)ana 70 (ke) ana 30 Sasa salooon huko wanamchanganya mbaya kwamba ooooh kwa vile mzee watoto waweza kutokuwa fit in some aspects. Anaomba uzoefu rafiki yangu huyu ushauri wenu ataufanyia kazi.