Nyie mlionishauri nimpe

kadogo2

JF-Expert Member
Feb 16, 2024
404
770
Haya mje mnipe mbinu za kutumia nisipate mimbaa

Jamaa ataingia usiku sana tupo tunachart hapa nimemuuliza kuhusu sex kasema we lazima tufanye nikampa mashart ya kupima na kutumia kinga yaani kondomu kasema tutapima ila yeye hawezi kutumia condom maana mimi ni mpnz wake hawezi kufanya sex kama anafanya na malaya.

Sasa nyie mlionishauri nimpe mimi sijawah tumia uzazi wa mpango na naogopa maana nasikia zina madhara hapo baadae

Nikisema nitumie kalenda nitadanganya mzunguko wangu umevurugika ndani ya miez 6 mzunguko wangu unabadilikabadilika

Haya nipeni mbinu za kutumia za asili nisishike ujauzito
 
20240304_153114.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom