Kuna uwezekano wa kuupata

Kuna uwezekano wa kuupata

mamamzungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2019
Posts
2,650
Reaction score
4,481
Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo tena

Namaanisha tukaenda ofisini kuutafuta tukaulizia magari yanayoenda mkoa huo na tukapata huo mzigo au ndio unakuwa umeenda huo mzigo

Ninachojua tarehe aliyosafirisha na mahali ulipoenda huo mzigo ila sijui ni gari gani aliupakia

Aliusafirisha kisha naye akasafiri ili akaupokee huko mbele ya safari...
 
Kama nina namba zake za simu zote nikawatajia na majina yake je itasaidia??
Hapo Sawa....kajaribu kuulizia watakuonyesha orodha ya Magari yote yaliyosafiri sikuhiyo ivo itakuwa rahisi ila uvumilivu wako tu wa kusubiri maana itachukua muda kutafuta mzigo wenyewe
 
Sawa dear ngoja tujaribu hiyo.. kwaiyo sasa unaenda ofisi za ulipotuma mzigo ama ofisi za ulipoenda mzigo
 
Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo tena

Namaanisha tukaenda ofisini kuutafuta tukaulizia magari yanayoenda mkoa huo na tukapata huo mzigo au ndio unakuwa umeenda huo mzigo

Ninachojua tarehe aliyosafirisha na mahali ulipoenda huo mzigo ila sijui ni gari gani aliupakia
Leo jioni nimefikisha 1month tangu nilipo pata ajari ya kugongwa na gari nikiwa Kama abiria kwenye pikipiki na kuvunjika mguu..

Nimekua kitandani for a whole month siwezi ku move ninalala kwa staili moja.

Ninasaidiwa na wife vitu vyotee na yeye Ni mjamzito

Mguu ulio vunjika unakuaga mzito mnoo nimejikuta kwenye tafakuri nyingi na kuu za kimaisha

At least naendea vyema Ila sometimes nawaza mengi Sana na moyo umeingiwa na hofu..

Kifo hakichagui, ajari haibagui , sijui kwa Nini ajar ilinichagua Mimi

NB.
Hakuna binadamu special
 
Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo ten...
pakiwepo na vielezo vinavyo kidhi haja mnaweza kupata, ajaliwe kupumzika kwa amani.
 
Huwa najiulizaga sana wanao agiza mizigo china kupitia makampuni mbalimbali na wale one man army, inapotokea mtu amepoteza maisha si ndio mzigo umeenda.

Ukute unapambana na mishe zako, hushirikishi familia kama unayo, au iwe hauna kabisa umejiagizia zako kagari au kontena la mizigo kadhaa inaenda potea bure buree.

Pia naamini mitadao ya simu kuna pesa nyingi za wafu zinabak nazo pindi wanapoaga dunia, labda ndugu wapate akili ya kufatilia.
 
Yeah ni kweli but no way
 
Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo tena

Namaanisha tukaenda ofisini kuutafuta tukaulizia magari yanayoenda mkoa huo na tukapata huo mzigo au ndio unakuwa umeenda huo mzigo

Ninachojua tarehe aliyosafirisha na mahali ulipoenda huo mzigo ila sijui ni gari gani aliupakia
Inawezekana? NDIYO.

Endapo tu mna uhakika kama kweli mzigo ulitumwa na wala si kukisia huenda umetumwa.

Nini cha kufanya?
1. Tembeleeni ofisi za mabus maarufu hapo mkoani kwenu. Mnafahamu aliyekuwa anatumiwa mzigo. Fikeni kuwa kuna mzigo fulani ulitumwa tar fulani.

Mkikosa kwa bus 1, nendeni kwa lingine mpaka mtakapofanikiwa.

2. Fikeni alipokuwa anaishi marehemu. Fanyeni upekuzi, mtapata stakabadhi inayoonyesha mzigo umetumwa kwa bus gani.

Zingatieni kuwa kuna ugumu mwingi sana. Mabus mengi yanatoa namba ya mzigo. Hivyo ukifika watakuambia tutajie namba ya mzigo wako. Tumieni akili kuweza kuupata.
 
Back
Top Bottom