Sichepuki Tena. Kumbe ni balaa hivi!

Rabboni

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
983
1,279
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.

Naamini mmeanza Mwaka salama.

Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.

Mimi niliweza kwa kipindi flani hivi, ila mwanzoni mwa Mwaka Juzi 2020 nikajikuta nazoeana na aliyezaliwa 1995, dah msinicheke wadau huo mwaka tayari mimi nilishakuwa mtu mzima kabisa.

Twende kwenye point sasa...

Tulivyoanza Mazoea.

Huyu binti ana mwili mkubwa mkubwa kidogo na umejipanga vizuri sana, kwa kifupi ni mzuri wa mwili na sura.

Nilianza kumzoea kwasababu nilikuwa kiongozi wa kitengo flani hivi kazini, so kuonana ilikuwa mara chache ila kila nikimwona lazima nitabasamu na yeye atabasamu.

Kupata namba yake haikuwa tabu kuna group la whatsapp wote ni member na mimi ndio Admin.

Baada ya muda tukawa tunachat private kuulizana ulizana tu mambo, siku moja nikatest zali la kuomba out! Akakubali, tukaenda zetu huko Kigamboni, hapa ndio alipata wasaa kuniuliza maswali kibao kuhusu familia yangu.

Out ya kwanza ilikuwa poa! Siku hiyo aliogelea sana, mimi sikufanya hivyo japo alitaka sana tuogelee pamoja, sikuwa na haraka kivile.

Kwenda kwenye hilo eneo kila mtu alienda kivyake.

Kuanzia siku ile ndio tukazidi kuzoena sana, tuliwasiliana mara nyingi muda wa Ofisini, nikajikuta nimeanza mahusiano automatic no mtongozano wala nini. Nilianza kula tunda huko Arusha kwenye Kazi moja tulioenda huko. Mtindo ukaanzia hapo Wakuu, huyu binti sikujua kama alizama kweli kweli.

Alinishangaza siku alipogundua mke wangu ni mweupe kumzidi, hamadi naona ngozi yake inaanza kuchange, 😀😀 nikamuwahi kumjulisha abadilishe mafuta anayotumia kwa sababu yanaibadili ngozi yake, katika uchunguzi wangu nikagundua ni makemikali ila aliyaacha kabla madhara hayajashika kasi.

Kwa 2020 na 2021 miaka 2 tu! Tulishirikiana mambo kibao yani, good thing hapigi vizinga wala nini! Mambo yake yote akawa ananishirikisha, A to Z mambo ya nyumbani kwao n.k

Sasa wakati tunaelekea kuuaga mwaka 2021, nikaa chini nikawaza future yake! Nikijua kabisa 2022 anagonga 27years. Na simwoni kabisa kama ana hata wazo la kuwa na familia.

Katika mazungumzo yetu ilikuwa Tarehe 09/01/2022, nikaamua kuvunja ukimya nikamuuliza kuhusu swala la yeye kuwa na familia yake as mimi siwezi kumuoa kwasababu nina mke na Watoto na tayari niko kwenye my Early 40's.

Acha Binti anijie juu kwa maneno makali, "I thought you Love me".
Yes, I love you ndio maana nataka uwe na future nzuri... Akaporomosha maneno hapo!! Mengi tu, kuniambia mimi ndio future yake na blah blah nyingine!!

Alitegemea kabisa kuna siku nitaachana na mke wangu na kwasababu nampenda nitamuoa yeye Duuh!! Nikamsomesha sanaa, nikafikiri ameelewa.

Juzi Ijumaa nakutana nae mahali ili tuzungumze zaidi ndio ananifungukia sasa, alishanichukulia kama mume na yuko tayari kunilelea watoto wangu na atawafanya kama wake siku nikiachana na Mke wangu, hapo anaongea kimahaba hadi nikafikiri ameingliwa na mapepo...

Haya maisha haya! Yaoneni tu kuna wanaowaza tusioyawaza kabisa.

Nampenda mke wangu! Sichepuki tena hata mniue!
 
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.
Naamini mmeanza Mwaka salama.

Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.

Mimi niliweza kwa kipindi flani hivi,ila mwanzoni mwa Mwaka Juzi 2020 nikajikuta nazoeana na aliyezaliwa 1995, dah msinicheke wadau huo mwaka tayari mimi nilishakuwa mtu mzima kabisa.

Twende kwenye point sasa...

Tulivyoanza Mazoea.

Huyu binti ana mwili mkubwa mkubwa kidogo na umejipanga vizuri sana, kwa kifupi ni mzuri wa mwili na sura.

Nilianza kumzoea kwasababu nilikuwa kiongozi wa kitengo flani hivi kazini, so kuonana ilikuwa mara chache ila kila nikimwona lazima nitabasamu na yeye atabasamu.

Kupata namba yake haikuwa tabu kuna group la whatsapp wote ni member na mimi ndio Admin.

Baada ya muda tukawa tunachat private kuulizana ulizana tu mambo, siku moja nikatest zali la kuomba out! Akakubali, tukaenda zetu huko Kigamboni, hapa ndio alipata wasaa kuniuliza maswali kibao kuhusu familia yangu.

Out ya kwanza ilikuwa poa! Siku hiyo aliogelea sana, mimi sikufanya hivyo japo alitaka sana tuogelee pamoja, sikuwa na haraka kivile.
Kwenda kwenye hilo eneo kila mtu alienda kivyake.

Kuanzia siku ile ndio tukazidi kuzoena sana, tuliwasiliana mara nyingi muda wa Ofisini, nikajikuta nimeanza mahusiano automatic no mtongozano wala nini. Nilianza kula tunda huko Arusha kwenye Kazi moja tulioenda huko. Mtindo ukaanzia hapo Wakuu, huyu binti sikujua kama alizama kweli kweli.

Alinishangaza siku alipogundua mke wangu ni mweupe kumzidi, hamadi naona ngozi yake inaanza kuchange, nikamuwahi kumjulisha abadlishe mafuta anayotumia kwa sababu yanaibadili ngozi yake, katika uchunguzi wangu nikagundua ni makemikali ila aliyaacha kabla madhara hayajashika kasi.

Kwa 2020 na 2021 miaka 2 tu! Tulishirikiana mambo kibao yani, good thing hapigi vizinga wala nini! Mambo yake yote akawa ananishirikisha, A to Z mambo ya nyumbani kwao n.k

Sasa wakati tunaelekea kuuaga mwaka 2021, nikaa chini nikawaza future yake! Nikijua kabisa 2022 anagonga 27years. Na simwoni kabisa kama ana hata wazo la kuwa na familia.

Katika mazungumzo yetu ilikuwa Tarehe 09/01/2022, nikaamua kuvunja ukimya nikamuuliza kuhusu swala la yeye kuwa na familia yake as mimi siwezi kumwoa kwasababu nina mke na Watoto na tayari niko kwenye my Early 40's.

Acha Binti anijie juu kwa maneno makali, "I thought you Love me".
Yes, I love you ndio maana nataka uwe na future nzuri...akaporomosha maneno hapo!! mengi tu, kuniambia mimi ndio future yake na blah blah nyingine!!

Alitegemea kabisa kuna siku nitaachana na mke wangu na kwasababu Nampenda nitamuoa yeye Duuh!! Nikamsomesha sanaa, nikafikiri ameelewa.

Juzi Ijumaa nakutana nae mahali ili tuzungumze zaidi ndio ananifungukia sasa, alishanichukulia kama mume na yuko tayari kunilelea watoto wangu na atawafanya kama wake siku nikiachana na Mke wangu, hapo anaongea kimahaba hadi nikafikiri ameingliwa na mapepo...

Haya maisha haya! Yaoneni tu kuna wanaowaza tusioyawaza kabisa.

Nampenda mke wangu! Sichepuki tena hata mniue!
Ndio life, siku zote dhambi huwa ina impact zake. Sasa kuchomoka hapo inahitaji maombi ya nabii Tito.
 
Ukiachilia mbali miiko ya dini na watu kuhofia haiba zao, mwanaume ameumbiwa tamaa na dhahiri hawezi kuizuia kwa mwanamke mmoja maisha yake yote.

Kumbuka, Daudi aliua mtumishi wake ili achepuke na mke wa mtumishi huyo.

Chakufanya mkuu, endelea kula tunda. Gwaji mwenyewe pia alishindwa kujizuia.

Kikubwa, jali mke wako na watoto wako kwa maana mchepuko sio ndugu wa kudumu.
 
Kuna Ndugu yangu mmoja alifiwa na mke, ndani ya miezi kadhaa akamwoa rafiki wa mke wake.
Tena aliyekuwa anamuuguza huyo mke kipindi cha Ugonjwa wake.
 
Ukiachilia mbali miiko ya dini na watu kuhofia haiba zao, mwanaume ameumbiwa tamaa na dhahiri hawezi kuizuia kwa mwanamke mmoja maisha yake yote.

Kumbuka, Daudi aliua mtumishi wake ili achepuke na mke wa mtumishi huyo.

Chakufanya mkuu, endelea kula tunda. Gwaji mwenyewe pia alishindwa kujizuia.

Kikubwa, jali mke wako na watoto wako kwa maana mchepuko sio ndugu wa kudumu.
Anaweza kumdhuru mke wangu huyu Dada, alinishtua sana kwa maneno yake mabaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom