Usilazimishe mfanyie kwanza haya
..fuatilia nyendo zake na kujua mbali na wewe kuna rafiki mwingne anayekuzidi nyota kwake .kama jibu ni hapana endelea na hatua inayofuata
..mmbadilishie jina yaani uitaji wako wewe utofautiane na marafiki zake wengne kwake ,hii itakusaidia yeye kukutofautisha na marafiki zake wengne
..hakikisha unamwamsha saa11 asubuhi Kwa kumpigia cm asubuhi pia break fast ni muhimu kumkumbusha na kumtakia asubuhi njema ,mchana pia hapa ni muhimu sana unatakiwa kuwa mbunifu Kwa maneno matamu kama juice huku ukimkumbushia kutumia juice chakula cha mchana ,jioni ni muhimu sana kumpigia kama rafiki na kumuomba mtoke mkabarizi upepo ,kumbuka kumpigia usiku na kumtakia njozi njema.
Tunaendelea..
Weekend ongeza manjonjo Kwa kumtoa out kama rafiki mpeleke maeneo ambayo maranyingi kutakuwa na wapenzi hapa itakusaidia kumjenga kisaikolojia na yeye ataendelea kukuweka katika kumbukumbu zake kila dakika
Kuwa muwazi kwake Kwa kila kitu ila unapokwama sehemu muombe ushauri ,kumbuka kurudisha feedback kwamba ushauri aliyokupa umekusaidia sana na yeye ni zaidi ya kila kitu kwako.zingatia hata kama ushauri haukukusaidia wewe sema umekusaidia
Mjengee mazingira ya yeye kukutembelea bila hata kukutaarifu hii itamjengea kitu kichwani na atakwamini sana
Unapokuwa naye usipende kugeuka geuka nyuma mtupie jicho muda wote na kuhakikisha hajikwaii anapotembea
Penda sana kumsimulia background zako za kichekesha usimsimulie kuhusu maisha yako ya kimapenzi hapa ni wakati wa kuyasahau na kuyatupa kwenye dustbin
Usipende kumpelekea zawadi sana mpeleke eneo ambalo zawadi unazotaka kumpa achague mwenyewe uchaguzi wake wa zawadi utakusaidia kubaini interests zake kwako mfano akichagua maua hivi jua hapo unapendwa na linuse UA kisha mnusishe na yeye akinusa rudia tena mnuse wote Kwa pamoja akiitikia hapa kwepesha UA sasa akunuse wewe kitendo hiki kumbuka kukifanya na katika mambo mengne
Chagua wimbo mzuri ambao siyo wa miruko na midundo maidhui ya wimbo yaelezee urafiki wa watu wawili ambao mwisho wa yote walioana japo walipita katika urafiki Kwa muda,mzoeshe wimbo auzoee mwitiko ukiwa chanya Fanya juu chini wimbo uwe muito wa cm zenu tyu yaani namba yako na yake pekee yaani hata ukiwa usizngizini akipiga unajua tyu ni yeye hii itakusaidia kupokea sm bila kufoka maana usingzi unafanya macho kuwa na ukungu na unaweza kuchanganya contact ukijui siyo yeye ukabwatuka
Fuata aya zote Kwa usahihi kama nilivyoziainisha hapo juu suala LA muda ni muhimu kabla haujavuka kitendo kimoja kwenda kingine usimkimbize Kwa vitendo kabla kitendo hakijapata mwitiko chanya
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai try ur best