Kuyumbayumba ni sanaa inayoelekea kufa, irejeshwe!

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,673
3,322
Kwa lugha ya malkia mnaita 'swaying'.

Ni moja ya sanaa za kale iliyorithishwa kupitia mafunzo ya jando na unyago na mafunzo mengine yasiyo rasmi ndani ya makundi rika.

Inahusu wandani wawili kuridhishana kwa mambo ya ndani.

Kwa sasa sanaa hii itabaki kwenye vitabu na majarida ya kale tu kwa maana inavyofutwa kwa spidi kubwa ya utandawazi.

Kwa sasa mtu anachojua ni kuwa mguu pande tu we uhangaike mwenyewe huko,,,hamadi unaambiwa gwaride limeshaisha!

Mila za asili kama hizi zinasahaulika kwa watu kukimbilia zile za kimagharibi.

Si ajabu kuona ndoa nyingi mfu zimeshuhudiwa kipindi hiki kuliko wkt mwingine wowote huku wengine wakikimbilia kujistiri kwa michepuko. Pia ongezeko la single moms ni baadhi ya athari hasi.

Tupende asili yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom