Muda huu uko na mwenza wako wapi?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,483
40,499
Kama uko mwenyewe mwenyewe hilo ni tatizo, au mwenzako yuko mbali na wewe, hilo nalo ni tatizo pia; kwa kifupi hayo sio maisha.

Adam alipokuwa pekee yake, alitafutiwa msaidizi ili wakae pamoja; iweje wewe uwe peke yako peke yako? Wengi tutasingizia ni utafutaji wa maisha n.k, je ni sahihi kupingana na dhana halisi ya uumbaji kwa ajili ya pesa?

Mimi nipo na mwenza wangu, tunasikiliza kwaya; je wewe upo na nani?
 
Back
Top Bottom