Je, kuna dawa ya kutibu hulka ya visasi na kutokusema kwenye anga za mapenzi?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Shalom
Hodi hodi jumapili!

Mungu wetu ni Mungu Mkuu na wa ajabu sana. Sijui huwa inatokea vipi sio kwa hiari yangu but nahisi ni kitu inherent au kuna namna sielewi anejua Aya za bibilia au vinginevyo aweke hizi dawa ama tiba za kiimani.

Iko hivi imeniwia vigumu kimsamehe na kumfanya rafiki demu au mpenzi katika orodha ya wanawake nilohusiana nao kimapenzi ambao walinisaliti wakati najitafuta, najipambania pesa shida sioni future yoyote demu anakutema au anakusaliti na watu wanaokuzidi uwezo.

Imekuwa ni kawaida kabisa nawapa shit la wazi wazi wanabaki kuugulia majuto, wengine nawachana peupe.

"Ya kale hayanuki ila hayaliwi"

" Ya kale ni mbolea ya mashambani nako shamba ni kwa wakulima"

Wanaume tujipe muda wa kuringa tunapitia stress, Sonona na mambo mengi sana, ukijipata baada ya kujitafuta usipatwe na shetani wa huruma kwa haya tunayopitia.

Poverty trauma inauma sana unampenda demu alafu anakupiga chini kwa kuliwa na mtu daah na anakuacha kwa nyodo.

Saa ingine unawaza sijui ufanye unafiki umlete kisha umpe juice ilosagiwa chupa au steel wire. wanatia hasira.

Wanawake kama uliharibu kwa msela kaa mbali usimsogelee huyo mwanaume akijipata yatawakuta shauri yenu.

"Ukijipata baada ya Msoto Ringa"

Ni onyo tu

Wadiz
 
Shalom
Hodi hodi jumapili!

Mungu wetu ni Mungu Mkuu na WA ajabu sana. Sijui huwa inatokea vipi sio kwa hiari yangu but nahisi ni kitu inherent au kuna namna sielewi anejua Aya za bibilia au vinginevyo aweke hizi dawa ama tiba za kiimani.

Iko hivi imeniwia vigumu kimsamehe na kumfanya rafiki demu au mpenzi katika orodha ya wanawake nilohusiana nao kimapenzi ambao walinisaliti wakati najitafuta, najipambania pesa shida sioni future yoyote demu anakutema au anakusaliti na watu wanaokuzidi uwezo.

Imekuwa ni kawaida kabisa nawapa shit la wazi wazi wanabaki kuugulia majuto, wengine nawachana peupe.

"Ya kale hayanuki ila hayaliwi"

" Ya kale ni mbolea ya mashambani nako shamba ni kwa wakulima"

Wanaume tujipe muda wa kuringa tunapitia stress, Sonona na mambo mengi sana, ukijipata baada ya kujitafuta usipatwe na shetani wa huruma kwa haya tunayopitia.

Poverty trauma inauma sana unampenda demu alafu anakupiga chini kwa kuliwa na mtu daah na anakuacha kwa nyodo.

Saa ingine unawaza sijui ufanye unafiki umlete kisha umpe juice ilosagiwa chupa au steel wire. Wanatoa hasira.

Wanawake kama uliharibu kwa msela kaa mbali usimsogelee huyo mwanaume akijipata yatawakuta shauri yenu.

"Ukijipata baada ya Msoto Ringa"

Ni onyo tu

Wadiz
Zaburi 37:8
 
Moderators kindly help corrections iwe kutokusamehe badala ya kutokusema kwenye heading
 
Back
Top Bottom