Kilichonikuta leo kwa sista duu flani hapa mjini

Lemme say this

JF-Expert Member
Nov 4, 2023
397
1,064
Habari za muda huu masista duu, mabrazamen, mafazamen and mamazawumeni. Natumai mpo salama na ni wa zima wa afya plus mahangaiko ya hapa na pale

Sasa wakuu wangu mimi ni kijana ambaye bado natafuta ridhiki ya kila siku, mimi ni tajiri wa zile alfu tatu mia tano na buku buku lakini licha ya kuwa na utajiri huo nikajikuta nataka kumiliki chombo flani hivi matata sana

Katika kutafuta chombo sasa kuna sista duu flani wa hapa mjini dar akapost photo moja wassap status nikavutiwa na shepu bila kusahau na ngozi yake, alikuwa ni mweupee peee. laiti ningejua huo weupe ni wa kuedit snapchat nisingejisumbua ata kumwangalia, si unajua bhana sisi vijana tuna ushamba flani kwenye baadhi ya vitu so nikashindwa kunotice ile ngozi ya mchongo

Nikamtext na kuanza mchakato wa kumshawishi tuonane mwisho wa siku sista duu akakubali tukapanga tukutane kwa maza ntilie flani pale kitaa for dinner.
Mwamba nikaanza kujiandaa swaaafi nikapiga jezi la jude bellingham na pensi flani hivi kama lile la command kipensi, chini nikavaa rubber ya nike then huyoooo nikasepa kwenda kwenye eneo husika.

Sasa ile nakaribia nikamuona sista flani ni mweusi tiii ila anashepu matata nikajisema there is a new black beauty in town nikaona acha niende nimpe hai kwanza then niendelee na yule sista duu lakini kimbembe kinakuja nilipomsalimia na kunigeuzia sura yake aisee kilichoendelea pale ni story ndefu inshort yule sista duu wa status ndio huyohuyo black mamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom