Anga ya kufanyia Mapenzi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anga ya kufanyia Mapenzi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwiba, Apr 29, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nikiwa naendelea na kutafuta elimu katika dunia ya kupendana tuwili ,safari hii kumekuwepo na hali ya kunibabaisha sana kiasi ya kushindwa kuelewa ni hali gani inafaa kufanya mapenzi au tendo la ndoa uwepo na mchuchu wako au kimwana unaetarajia kukutana nae ili kuridhishana kwa kila kitu mtakachokubaliana mkiwa ni ninyi tu wawili na uwanja ni wenu au wetu.

  Hapa kuna walioniambia ni bora muwe mbali na mji ,huyu sikumfahamu maana simu yake ilikwisha betrii na kukatika ,alikusudia bora mwituni,vichakani au kwenye uwanda usio na miti labda kandokando ya bahari ,hivyo aliniwacha kwenye mataa ,katika kudadisi wengine niliwasikia wakisema bora kwenye chumba tu kuweko na muangaza hapa palizuka ubishi na wengine kudai bora giza niliondoka maana makelele yalizidi na pakawa hapaeleweki kitu ,niliondoka huku nikiwa na mtihani kichwani.

  Wakati nikinywa kahawa tayari kwa kurudi nyumbani kulikuwa na kamziki kakilia kwa mbali au tuseme kwa sauti ya chini isiyo navishindo kalikuwa kama kanachombeza hapo akazuka aliekuwa na daydreams na kumaka kamziki hako ukiwa na mpenzi wako kwenye kitanda mnaweza mkakesha mpaka jogoo la alfajiri kwa makolomwezo ya mapenzi bila ya kuchelewa alizzuka mshindani na kudai wakati wa mahaba ya kitandani ni bora kusiwe na sauti yeyote ile hata sauti zenu ziwe si za kawaida na zenye kutamka maneno ya ajabu ajabu tena yasio sikika vizuri ,waliokuwa jirani na mazungumzo hayo wakaguna na kusema sasa ikiwa kila kitu kimya si mtashughulisha wapita njia wanaokatiza chini ya madirisha ,duh kusikia kauli ya mtu huyo ikihoji nikaamua kujiondokea na kuniwacha kwenye mchuano wa mawazo ,kwa bahati ninapokaa ipo internate cafe ndio nikawahi hapa kupata maneno ya wanachama wa JF ambao nina hakika watakuja na mawazo yenye taaluma na kuchanganua dataz ,wakichanganyisha na ushahidi kamili na hata wala wale wenye experiancee za majambo haya ambao wameshapitia kila dizaini na kutuchambulishia ukweli ni upi ili mtu afaidi na kufaidishwa ingawa katika hiyo pitapita yangu kuna mmoja nilimsikia akishusha madai kuwa anaefaidi ni yule anaepiga makelele kinyonga mmoja akarusha ulimi na kusema unajuaje pengine anaumia.

  Wana JF kitengo cha mahusiano mapenzi na urafiki mnasemaje na kutufundisha kitu gani pamoja na kutoa funzo kwa hayo matatizo yaliojiri hapo juu ukweli haswa ni upi ? Pengine kuna tofauti ya makabila kupenda kiza na mengine kupenda mwangaza labda mengine huinjoi zaidi vichakani na pengine wengine ni wapenda makelele ,uwanja kwa wajuzi wa mambo !
   
 2. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hakuna fomula inategeana na mlengwa anapenda nini. Kama mimi napenda na nilishawahi ku do vichakani na pembezoni mwa fukwe. Kama ni ndani basi sio kwenye 6 by 6, chini kwenye sakafu au kitu kigumu,maana sometimes kitanda hupoteza shabaha kama kinaswing swing sana. Ongea naye kwa kauli za kimahaba ujue nini apendacho. Sio vizuri kumpandikizia mtu hobby ilihali haitafanya kazi kweke. Kila la kheri.
   
 3. S

  Solaris Member

  #3
  Apr 30, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ubunifu na inategemea kila mtu anapenda kuwa kwenye hali gani kuna wengine wakipandwa na mizuka hata hicho kitanda kinakuwa hakifai wanakwambia twende sakafuni au sofas kusudi aweze kuonyesha ujuzi zaidi, kuna wengine wanaona ni bora waweke muziki wakati wakifanya mapenzi maana kuna watu huwa wanapiga makelele utafikiri mtu anatolewa mapepo na mchungaji kiasi kwamba hadi nyumba ya jirani watafahamu kuwa fulani na fulani wako kwenye majombozz sasa hivi.
  Vile vile nashauri ni bora kujaribu style mbalimbali inorder to enhance uhusiano wenu kwa kuwa sio kila mkikutana lazima mfanye tende la ndoa kwenye sita kwa sita you might try some other adventures in the other parts of the house kama wote mko okay na mmekubaliana na natumaini hamtajaribu style ambayo inaweza kumletea madhara mwenzako, kuna wanaopenda kufanya mapenzi kwenye ufukwe, kuna amabao wanapenda kufanya mapenzi kwenye gari kila mtu anajua raha yake.
  So i guess ni vile mtu anavyopenda whether ni usiku, mchana aua asubuhi whether taa imewashwa au imezimwa kila mtu anajua anachopenda
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Vitu viwili ambavyo vinahitajika mara zote ni utulivu na muwe peke yenu mnapotaka kufanya,kingine cha kuzingatia ni kubadili sehemu mara kwa mara.Mimi meza ya jikoni ndio 'favourite' kwa ya chapchap,mamsap anapenda ya kwenye carpet sebuleni,bafuni na kwenye gari nayo usisahau siku mojamoja.
  Kama tuna muda na hatujachoka na kesho yake hamna kazi basi kuna ile ya kutayarisha chumba mwanga hafifu,kuwasha udi,muziki kwa mbali na mambo taratibu masaa kadha.
   
 5. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #5
  Apr 30, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kila mtu ana test yake, mimi mara nyingine napenda hata kwenye parking, au usiku unapark tu pembezoni mwa barabara UNA DO. kuformalize sana hta haininogeshi miye......
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sikusudii style za uhuni uhuni ,natafuta za mtu na kipenzi chake cha roho,maana wale wa kwenye parking wengi wao wanakuwa machangu doa wa kuokoteza au yule wa jikoni sana inakuwa anakamatia waliokwenda kutembea kwao au watoto wa jirani ndio maana yake au mnaonaje ?
   
 7. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #7
  Apr 30, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Shauri yako wewe endelea kuformalize, wenzako ni kila mahali. akikutana na wazee wa wild sex utashahulika na kubaki kuomba ushauri JF. nahisi wewe unataka umlaze chali usali ndio umrukie. kwiii kwiiiii
   
 8. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Bro, you need The Art of Kamasutra book.
   
 9. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  What is that art all about ?
  Eti ndani ya swimpul mambo yanawezekana ? Kuna jamaa katika mazungumzo alisema kama tunataka kufa vikibudu tujaribu.
   
 10. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyu ninae muongelea ni mke wangu wa 11yrs na tumeweza kudumu na kuboresha mapenzi kwa kubadili viwanja vya mechi kila mara,ukisema utasubiri muda fulani chumbani baada ya muda mtaboreka.
   
Loading...