MWELEZE MWANDANI WAKO UNACHOITAJI!!mwaaaa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MWELEZE MWANDANI WAKO UNACHOITAJI!!mwaaaa!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 4, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,339
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280
  Mlipooana tu sex ilikuwa hot, exciting na full speed! Na mlikuwa mnasemezana kwamba hata siku moja haitakuja kubadilika hata hivyo baada ya watoto kuzaliwa na majukumu kuongezeka hata bila tahadhari tayari kila mmoja analalamika kisirisiri. Na mbaya zaidi wengine hulalamika kwa ndani hawasemi, ukweli unahitaji kukaa chini na mwenzi wako na kujadiliana na kumalizi kwani “small things matters”

  Malalamiko yafuatayo mara nyingi hutawala ndoa nyingi si zote:

  Mke wangu haniambii nini anahitaji tukiwa kitandani.
  Kama wewe ni mwanamke ukweli ni kwamba mume wako hawezi kusoma kile kipo akilini mwako, “men read news papers not minds” kama ulikuwa umeota kuhusu yeye au ulikuwa unatamani akufanyie kitu chochote wakati wa kuwa mwili mmoja, au unahisi akifanya kitu Fulani utajisikia kusisimka zaidi; mwambie na yeye ataipata point yako na si kula jiwe.

  Hataki kunyoa!
  Baada ya kuwa na watoto, baadhi ya wanawake husahau kabisa kiwembe kinauzwa wapi au kimewekwa wapi, inawezekana wewe unayesoma hapa ni mojawapo (walewale), wewe mwenyewe ni shahidi hukuwa na msitu mnene kama wa ikweta hapa kabla; ni kweli upo busy na mumeo anajua upo busy hata hivyo kujiweka safi ni tabia njema, mumeo analalamika kimya kimya! Looo!

  Chumbani anavaa kama yupo ofisini!
  Wakati wa honeymoon ulikuwa unavaa nguo za chumbani chumbani na ofisini ofisini, sasa mbona ukiwa chumbani unajifunika nguo gubigubi, ni kweli tangu uzae watoto umebadilika sana, umenenepa na mumeo anajua hata hivyo anahitaji kuufurahia mwili wako kwa wewe kuvaa zile nguo za chumbani ili akufaidi, unaficha mwili wa nini wakati ni mali ya mumeo.

  Anang’ang’ania mlalo mmoja tu!
  Anapenda missionary position tuu, kama mwanzo wa ndoa alikuwa anajirusha style zote basi inawezekana libido imeshuka na ni dalili kwamba hana hamu tena, jibu ni kuanza upya yaani umchumbie upya, ukifanya mchezo ataanza kupena kusoma vitabu kuliko sex!

  Hataki kulianza!
  Yaani kila siku ni mimi mwanaume kuanza hata kama mpo hivyo inatakiwa angalau siku moja na wewe uniambia unanihitaji.
  Inawezekana mwanaume hajui mwanamke anahitaji kitu gani katika mapenzi, mwanamke akiwa na mood nzuri anaweza kulianza, hata hivyo unachofanya na mkeo nje ya chumbani huweza kutoa npicha ya kile mtafanya mkiwa chumbani.

  Anaogopa watoto watatusikia!
  Kila siku tukitaka kuwa mwili mmoja mke hulalamika kwamba hadi watoto walale kwani watatusikia, nikifungua radio ili kumeza sauti za tunapokuwa mwili mmoja bado analalamika kwamba watasikia.
  Mwanaume lazima ujue kwamba “everything in women’s life is wonderfully connected” ni kweli huwa anawaza watoto watasikia au mlango hujafunga vizuri na matokeo anaweza asipate raha kamili, ni jukumu la mwanaume kuhakikisha usalama na privacy kabla ya kuanza kung’ang’ania kuwa mwili mmoja.
   
 2. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hongera sana ndugu, zidi kutupa somo, nimelipenda sana.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,339
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280
  Kuelekea 2010 kila mtu na mambo ya nitoke vipi..lol.
  __________________
  thanx penny i will;it ll b ma pleasure to act on it
  ciao n nyc weekend
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,339
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280
  Your Marriage or Relationship is so Important, Please take Good Care of Yourself and Be Kind to Your Partner and Try To Keep Your Sense of Humor
   
 5. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2009
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  keep it up! Information is Power.
   
 6. Y

  YE JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  asante kwa kufumbua macho!
   
 7. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mr Impossible, asante sana.. huu ujumbe ni murua kabisaaa kwani si uongo hayo huwa yanafanyika sema tu huwa hatuwezi unganisha athari zake moja kwa moja. Ni mahusia mazuri mkuu! Ubarikiwe
   
 8. Kimori

  Kimori JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2009
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mr IMPOSIBLE!!! Huu ni ukweli kabisa na haya mambo yapo sana katika ndoa nyingi
   
Loading...