Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari jamiiforum. Hii ni Kwa watu wazima 40+ Mambo meengi tunafanya ila kuna makosa yanajitokeza bila kujua,tunajiaibisha bila kujua. Mbaya zaidi tunaona ni kawaida. Na ni ngumu mtu kukwambia...
7 Reactions
5 Replies
180 Views
Hii mada inatuhusu sote,wanaotafuta wenza waume kwa wake na wale tayari washaoa,na wewe kataa changia tu hoja yako. Ni kwamba, wewe uliyeoa ama kuolewa,ulitumia sifa/vigezo gani kumpata mwenza...
4 Reactions
62 Replies
664 Views
Habari za weekend ndugu wadau wa JF wa thamani sana! Mimi katika balehe yangu na kukua kwangu nimesikia mengi mno kuhusiana na hili suala la dadapoa wanaojiuza maeneo mbali mbali hapa jijini Dar...
24 Reactions
178 Replies
4K Views
Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa! Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
14 Reactions
59 Replies
1K Views
Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea? Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1...
1 Reactions
20 Replies
401 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Waungwana, haya maisha bila pesa hayaendi. Yaan pesa ni kila kitu. Vijana acheni kupenda na kupendana bila pesa. My ex girlfriend alinambia: "UPENDO SI PESA, UKINIPENDA NAMI NTAKUPENDA" Haya...
1 Reactions
15 Replies
230 Views
Kwanza kabisa niseme hii playbook ni zao la experience ya muda mrefu, na nitaigawa kutokana na umri/tabia ya mwenza wako mchezoni 1.MSHANGAZI MWENYE LOW LIBIDO Hapa kijana usihangaike sana, chapa...
1 Reactions
12 Replies
362 Views
Wanaume wenzangu hivi Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia ata papuchi? Na kwa mademu je ulishawahi kuhongwa bila kutoa Papuchi? Binafsi tayari na sio mara moja ila now ukiniomba...
29 Reactions
382 Replies
60K Views
Niko tu uchochoroni, Siziwezi hekaheka za vijana Mimi Mzee wenu,nipo mahali nimejibanza napata local beer
11 Reactions
92 Replies
888 Views
Leo ni siku ya kipekee sana kwako. Ninayo furaha sana kukutakia kheri ya kuzaliwa. Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu, ni rafiki yangu wa kweli, faraja yangu na sababu ya tabasamu langu kila siku...
36 Reactions
184 Replies
2K Views
Mahusiano ni jambo zuri, ila muda mwingine ni tabu tupu mnapo kutana watu wawili wenye mitazamo, hisia, malengo au mienendo tofauti. Kuna mambo ikitokea mwenza wako kafanya ni ngumu kuya kubali...
11 Reactions
312 Replies
12K Views
Kwa wanao pitia Barbara ya king'ara hii sura si ngeni, mwamba anaitwa Alex, huyu mwamba inasemekana baada ya mkewe kupoteza maisha jamaa aliishia kuchizi kutokana na mawazo. Haija julikana kama...
3 Reactions
21 Replies
436 Views
Kadri vijana wengi wanavyoendelea kukua, wengi wanajikuta wakiingia kwenye mahusiano ya pesa yaani kununua malaya kuliko mapenzi ya kweli ya kuishi ndani na mwanamke. Wapo ambao kila wakitaka kuwa...
3 Reactions
11 Replies
406 Views
Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29, Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja. Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa...
12 Reactions
66 Replies
4K Views
Chozi ama machozi ni ishara ya kuumia na maumivu yaliyoshindwa kuhimili hisia za kawaida za kibinadamu... Wanawake ni mabingwa kwenye hili. Wanaume huchukuliwa Kama shupavu wasiotoa machozi yao...
19 Reactions
144 Replies
20K Views
Wasalaaam, Wakubwa shikamoo, wadogo marahaba. Wahenga wanasema ukistaajabu ya mussa utajashangaa ya firahuni. Jana was boxing day na kweli familia imepigwa box za kichwa kibao. Kuna mambo mimi...
2 Reactions
108 Replies
14K Views
Mwanamke anawastani wa kutongozwa mara 3 kwa siku, mara 21 kwa wiki, mara 90 kwa mwezi na mara 1,080 kwa mwaka. Hata kama mkeo ni mgumu kiasi gani ni vigumu kukataa majaribu yote 1,080 kwa...
13 Reactions
57 Replies
724 Views
Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa. Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka...
28 Reactions
379 Replies
11K Views
Vijana wa kiume wengi bado wanafikiri mwanamke wa kisasa ni kama mama zetu wa miaka ya 60 na 70 waliotulea. Hii inapelekea wengi wao kuingia kwenye mahusiano wakiwa na pure intention. Kitu...
36 Reactions
204 Replies
6K Views
Back
Top Bottom