Kwa sasa ulipwaji wa mahari pale mtu anapooa ni kitu kisichofaa kabisa.
Sasa hivi ndoa ni ya mke na mume (wanakaa peke yao), Wala haiingiliwi na ndugh wammume.
Zamani mtu akioa anampeleka...
Hellow wana JF.
Ukioa/olewa na mtu ambaye mama yake au baba yake ni shangingi yani hawajui chochote kuhusu ndoa there is no way kwamba hiyo ndoa yenu inaweza kudumu.
Ndiyo maana ndoa nyingi...
Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona...
Kwanza niwashukuru kaka zangu kwa ushauri mzuri mlonipa kwenye uzi wangu kuikataa misri ya u singo maza.
Pili naomba niwape mrejesho au matokeo mazuri ya ushauri wenu.Yote mlonishauri ambayo ni...
Wanajamvi natumai hamjambo.
Ungekuwa wewe ndo mwenye huyo mke Sasa ungemjibu nini baba watoto WA mkeo
Hatua gani zingefuata Kwa mkeo ambaye wakati unamuoa umemekuta ana watoto wawili
Wadau habari zenu,
Hili swali ni kwa wote, yaani me na ke tujadili
Umemfumania mpenzi au mke wako na mtu mwingine unapaswa kudili na nani?
Kuna wanaume wanafikia hatua ya kuwaua au kuwafanya...
Watoto wakishua mtupishe, asilimia kubwa ya jamii za watoto wa kiafrika wamekuwa wakicheza mchezo almaarufu uitwao kibaba na mama; ambapo baadhi yao watoto wa kiume hujifanya baba, wengine wakike...
Mwanadada Eliza ametoa Siri ambayo inawezekana wanaume wengi hawajui.
Eliza akiongea na mwandishi, ameulizwa swali ni kitu gani ambacho wanaume hawajui kuhusu wanawake? Eliza amejibu hivi.
"Kitu...
Huyo mwanamke unaemuamini sana, unampenda sana na anakupenda sana huyo huyo lazima anae mchepuko wake. (Ukibisha haibadili ukweli)
kiasili mwanamke sio mtiifu ni muasi ndio maana unaona Eva...
Wakuu kwa wazoefu wanajua Hii code
Kwa waliowahi kutoka na wake za Watu amini nakwambia,hao watoto uliobahatika kuzaa hao ndio ndugu zako,faraja yako wekeza nguvu hapo,ila huyo kiumbe wa pembeni...
.
Leo ngojea nijaribu kuandika kwa kifupi.
Kaka zangu,kama una mke/familia ambae unampenda,unamjali na kumlinda kwa namna zote zinazomaanishwa na haya maneno na ikiwa kula yake,mavazi...
Tumesikia mara nyingi kauli kama
1.Anafanya maamzi kwa mihemko
2.Kukurupuka
3.Kwa kufuata hisia
4.Kwa logic(mantiki)
5.Kwa kufuata upepo(fallacy)
Kwa uelewa wako unatofautishaje kati ya kuamua...
kheri wakuu!
Nimeona niwashirikishe wajuvi wa mambo haya na mpate kujua kwamba kama huna uwezo wa kumwacha mpenzi wako uliye naye na unahitaji mapenzi yenu yashamiri nashauri kwamba ni bora ukae...
1. "Uko wapi?" (The Tracking Syndrome)
Kisaikolojia: Mwanamke huuliza kwa usalama, lakini mwanaume husikia kama anafuatiliwa au haaminiki (distrust).
Ushauri: Badala yake, sema: "Natumai uko...
Habari zenu wana jf naombeni ushauri kwenu. Nifanyeje? Maana nimejikuta simpendi tena mume wangu kwani amezid wivu .
Nimekuwa ni mtu wa kushinda nyumbani tu hataki nijishughulishe wala kutoka...
Wanandoa wa Nigeria wafika mahakamani kwa ajili ya kudai talaka wakiwa wamevalia mavazi sare. 😂
Inadaiwa kuwa jaji alihoji kama kweli walikuwa wameamua kuvunja ndoa yao baada ya kuwaona wamevalia...
Leo tuongee na kizazi cha nyinyi mademu mnaojiita the prettiest generation
Kwenye TBT nikasema nithrowback na ngoma za Moe na FA Kama Unataka Demu na Mabinti
Oyaa mule zinatajwa pisi zilizokuwa...
Habari wana Jukwaa
Wifi yangu mmoja ambaye ni mke wa Kaka yangu wa hiari amefanya jambo moja ambalo mume wake amejikuta mtu kati kwenye group la Wasap baada ya mke wake kuchukua namba za...
Kibiologia Unene mkubwa unapunguza hamu/nguvu ya tendo la ndoa
Sasa nyie wanaume wanene mnawezaje kudumu kwene ndoa wakati kushiriki ligi ni season had season!
Nb: Ni kwa ajili ya elimu tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.