Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 824
- 1,632
Kuna nafasi nzuri sana ya kujifunza mambo mengi katika ndoa. Wanandoa unatakiwa kuwa tayari kujifunza.
Ndoa haiwezi kuimarika endapo kila mmoja kati ya wanandoa atang'ang'ania kubaki na misimamo yake aliyokuwa nayo kabla ya kuoana.
HAKUNA MWANAUME BORA DUNIANI AMBAYE ANGEFAA KUPIGIWA MFANO NA HIVYO KUPENDWA NA WANAWAKE WOTE DUNIANI
Kwasababu ni kinyume chake kwamba hakuna mwanamke ambaye atapendwa na wanaume wote inamaana kwamba endapo mmoja kati ya wanandoa atagundua kwamba ameoana na mtu mwenye tabia kinyume na alivyotarajia suluhisho sio kuachana bali kujifunza ili uendane naye.
Hii ndo maana ya kuita ndoa ni chuo.