Nimerudi kwenu tena mnishauri wakuu

Nimerudi kwenu tena mnishauri wakuu

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,340
Reaction score
111,565
Yale ya juzi tuliongea na tukayamaliza baada ya kuzingatia ushauri wenu.

Sasa leo huyu mchudenga wangu amekuja na kubwa akisema kwamba..... anashida kubwa na mimi.
Mie nikamjibu kwa upole na ustaarabu kabisa kwamba.... kama anashida na mimi, aweke kwenye whatsap status na shida itakwisha na kupotea baada ya masaa 24.

Eti nimekosea wapi wakuu...😪 maana sioni dalili za leo kupewa chakula cha mwili...😒
 
Ya juzi tumesahau embu tukumbushe
 
Nadhani unazeeka vibaya 😂😂😂

208030f1-d057-48a3-81e1-2f2a31ec4aef.jpeg
 
Back
Top Bottom