Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani. Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na...
21 Reactions
242 Replies
23K Views
Wakuu hamjambo nyie madogo na wale wakubwa heshima yenu aisee.... Nikiwa nimemaliza degree yangu na matumaini kibao aisee haya maisha haya yamenifanya kuwa na nidhamu sana. 1. Mtiti ulianza home...
31 Reactions
295 Replies
15K Views
Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga. Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
13 Reactions
97 Replies
971 Views
Ashley St Clair, aliyekuwa mpenzi wa Elon Musk, amesema alikataa ofa ya dola milioni 40 sawa na Tsh. Bilioni 105.7, ili asisaini makubaliano ya kutotoa taarifa (NDA), jambo ambalo lingemzuia...
3 Reactions
9 Replies
216 Views
  • Redirect
Kuna ile hali dem kaja mpaka getoni kwako alafu anatoka hajaliwa inakuwaga ngumu sana kuhadithia wanaume wenzio hakuna atakaye ku support wote wanakuona BOYA
0 Reactions
Replies
Views
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe. In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na...
65 Reactions
591 Replies
83K Views
Kufika hapa kiliman inahitaji ukun unaojua kusukutwa vilivyo.mm nmefika jana kwa mara ya kwanza.
8 Reactions
27 Replies
422 Views
Mkuu wa Jadi wa Aflao , Torgbuiga Adzonugaga Amenya Fiti V huko nchini ghana, amesema kuwa kushindwa kwa baadhi ya wanaume kudumu muda mrefu kitandani kunasababishwa na wenza wao kutovaa shanga za...
1 Reactions
4 Replies
62 Views
Nina jamaa yangu amepanga chumba kimoja uko Tandika, sasa katika nyumba iyo iyo chumba kingine kuna dada nae amepanga na mume wake. Jamaa kiukweli ni mtanashati fulani na kwa jinsi alivyo ni mtu...
1 Reactions
76 Replies
12K Views
Katika maisha yangu tangu utotoni hadi wakati huu wa ujana wangu nimekuwa karibu sana na mambo ya imani za kishirikina. Haimaanishi kama mimi ni mchawi wala mganga wa kienyeji ila tu ukaribu na...
10 Reactions
134 Replies
46K Views
NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa...
70 Reactions
201 Replies
7K Views
Kweli uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti. Huyu dem anakaa mitaa ya Temeke pile Sasa tulikutana kwenye mitaa ninayokaa yeye akawa anaulizia nyumba moja hivi ikabidi niombe namba lakini pia...
6 Reactions
81 Replies
19K Views
Kuna wakati unajihisi umechoka, unahisi mambo yako hayaendi, na kila hatua unayopiga ni kama unavutwa nyuma na kamba usiyoiona. Unakaa na kutafakari; "Mbona nina elimu? Mbona nina juhudi? Mbona...
7 Reactions
7 Replies
625 Views
When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu...
16 Reactions
142 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Leo nimeamua kuandika uzi huu kwa sababu nimegundua jambo moja kwenye maisha: kuwa na watu wengi sio sawa na kuwa na rafiki wa kweli. Unaweza kuwa na contacts nyingi kwenye simu...
4 Reactions
51 Replies
322 Views
Unafanya mambo yasiyofaa na baada ya hapo unapigwa chini. Mbaya zaidi, unamroga mtu ili akipata mwenza mwingine, ashindwe kuwa na uwezo wa kawaida. Acheni ushirikina ninyi wanawake.
4 Reactions
13 Replies
153 Views
WANAWAKE WENGI HUFIKIRI KILA MWANAUME ALIWAHI KUTOA BIKRA WAKATI WALIOKUTANA NA BIKRA NI WANAUME 2 KATI YA 10. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mara kadhaa nimekuwa nikiwasikia wanawake...
12 Reactions
63 Replies
2K Views
Nipo Liwale wiki sasa, nimekuwa menyonge na kuanza kuuchukia huu mji. Sisi wengine hatuwezi kukaa sehemu bila kuingia chimbo la wakubwa la mambo yetu yale. Sasa mwenyewe kujua anipe code hata dm
5 Reactions
32 Replies
443 Views
Wakuu salama, Kuna hili suala limekuwa likinitofautisha sana mawazo na marafiki zangu, nikaona si vibaya tukaleta hapa jukwaani ili tupate uzoefu wa pamoja na kubadilishana mawazo. Wote tunajua...
0 Reactions
3 Replies
104 Views
Imani yangu, inaniruhusu kuwa na mke mmoja tu. Lakini kutokana na uumbaji wa Mungu, nimejikuta kutamani tamani sana wanawake wazuri wazuri ninaokutana nao huko duniani. Hii imepelekea kuwa na...
4 Reactions
48 Replies
425 Views
Back
Top Bottom