Ukianza kumtongoza Mwanamke na akakukubali haraka, jitathmini!

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,543
Reaction score
9,619
Hiyo ndo principle mating demand ATP. Ukimtongoza mwanamke akakukubali haraka jua kuna kitu hakipo sawa either una kimojawapo kati ya hivi

1.Una pesa

2.Mfanyakazi

3.Kastaafu umalaya anatafuta wa kustaafia

4.Anataka ndoa ili amiliki mali ulizo nazo wale pamoja na watoto wake ili wewe upigwe chini

5.Amekuona una akili ndogo

My bro huyo hajafuata upendo wako
 
Kwani sisi wanaume tukiwa tunatongoza huwa tunataka tupewe majibu baada ya muda gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom