nisaidieni hapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni hapo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jeff, Dec 19, 2009.

 1. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  hivi demu ambaye ni bikra akisex kwa mara ya kwanza ni lazima damu itoke? namaanisha bikra inapotolewa, hoja zenu wana JF
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  eeh!LAZIMA ITOKE.

  funga na thredi yako kabisa
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ..ha ha, duh! humwangalii 'nyani' usoni? haya bana.
   
 4. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana.

  si lazima itoke japo mara nyingi inatoka.

  kuna mambo mengine hapo husababisha isitoke na ikabaki kuwa kweli mwanamke alikuwa bikira. mfano
  1. ukubwa wa kifaa cha mwanaume,
  2. athari za mazoezi ya viungo aliyopata mwanamke kama alikwa mwanamichezo,
  3. kiwango cha majimaji ya ukeni wakati wa kujamiiana (wengine ni wakavu ama hawajaandaliwa vizuri),
  4. saikolojia ya mama. mfano ukimbaka, anaweza kuwa si bikira na bado damu ikatoka,
  5. muundo wa ndani wa uke, nk.

  hivyo msipotoshe mambo
   
 5. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145

  asante mpwa nimekupata vizuri,senks
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  Dec 20, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mgombea Ubunge umejibu vema,hongera
   
 7. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  H… Healthy, Hopeful, Humble, Humorous, Hummus eater

  A … Appreciative, Approachable, Activist for global peace & justice

  P … Peaceful, positive, …

  P … Passionate, practical, …

  Y… Youthful, yummy, …
   
Loading...