Je,naweza kukaa kivyangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,naweza kukaa kivyangu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Dec 21, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Je,naweza kukaa kivyangu?  [​IMG] Je, kutengana kati ya mke na mume bila kupeana talaka ni jambo linaloruhusiwa kibiblia hasa kama kuna matatizo ya ndoa kama kupigana au mmoja kutokuwa mwaminifu?

  Kwa kuwa kuendelea kwa ndoa ni mapenzi ya Mungu bado kutengana kwa muda huweza kusaidia hasa pale wanandoa walio katika wakati mgumu kuendelea kupewa ushauri na usuluhishi ili warudiane bila kuumizana.

  Kutengana kwa aina hii husaidia hasa kwa mwanamke ambaye ameolewa na mwanaume violent, mlevi au mwingi wa habari na hii ni kwa ajili ya safety ya mke na mke au mume haruhusiwi kuwa na partner mwingine kwani kuwa na miadi (dating, outing) na mwanaume mwingine kama ni mwanamke au mwanamke mwingine kama ni mwanaume huweza kusababisha mahusiano na ki-emotions na feeling na kusababisha kurudiana na mke au mume wake kuwa vigumu zaidi.
  Na mtazamo mkubwa unatakiwa ni kulenga wanandoa kurudiana na kuendelea na ndoa yao na si vinginevyo.

  (Kwa maelezo zaidi soma 1Wakorintho 7:10 - 11)
   
Loading...