Kuhujumu mwili Wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhujumu mwili Wako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Dec 21, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,486
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Kuhujumu mwili Wako  [​IMG]Si kweli kwamba kuguswa na sex ni vitu hatari sana, vibaya na uchafu.
  Ukweli ni kwamba
  Katika ndoa kupeana raha kwa kugusana (touching) na sex ni mlo kamili wa moyo, mwili, nafsi na roho.

  Si kweli kwamba mume wako au mke wako ndiye anayehusika na raha yako kimapenzi.
  Ukweli ni kwamba wewe mwenyewe unahusika na raha ya mwili wako hata kama umesoma kiasi gani, au una akili kiasi gani au hata kama partner wako yupo makini kiasi gani kama hujui kwamba mwenye unahusika na raha yako huwezi pata raha na kufurahia mapenzi.

  Si kweli kwamba mke wako au mume wako anafahamu namna gani, lini na wapi unapenda kushikwa kimapenzi.
  Ukweli ni kwamba ni jukumu lako kumfahamisha mume wako au mke wako ajue kile unapenda na unahitaji kimapenzi.
  Kwani ni partners wachache sana wanaweza kusoma minds au kile unataka linapokuja suala la kufanya mapenzi.
  Na kufanya mapenzi ni moja ya maeneo ambayo huwezi kufuata Golden rule kwamba “Fanya kile na wewe unapenda ufanyiwe” kwani kwenye mapenzi kila mtu anapenda kitu tofauti ili apate raha.
  Kile mke au mume wako anapenda kufanyiwa katika mapenzi ni tofauti sana na wewe.

  Si kweli kwamba ukiwa na mwili unaoonekana young ndipo uta-enjoy sex.
  Ukweli ni kwamba jinsi mwili unavyoongeza umri ndipo huwa bora kwa sex.
  Kwani Kuwa mzuri kimapenzi ni uzoefu unao patikana kwa kujifunza miaka na miaka kwa sababu sex huhitaji ufahamu na mazoezi (knowledge and practice).
  Utamaduni wetu unatuambia kwamba unapoonekana young unakuwa sexy zaidi ukweli ni kwamba kuvutia kwa mwili hakuwezi kuleta kukomaa wa emotions na self-confidence katika kufanya sex kitu ambacho ni muhimu sana kuwa sexy na sex inayo inayoridhisha.

   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  I hate this behavior of somebody just pasting something inhere, then anakimbia bila kufanya uchambuzi wa kutosha wa hoja!
  Ni kubandika tu...hata kama watachangia watu 2!
  Shame on us!
   
 3. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Aisee pdidy, mashairi yako bomba kwelikweli. kila kitu kizuri kinaanza na wewe mwenyewe.
   
Loading...