Mara ya Kwanza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mara ya Kwanza!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Dec 17, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Mara ya Kwanza!

  Usipokuwa makini unaweza kuligongesha siku ya kwanza tu!Sex mara ya kwanza ni uzoefu wa aina yake na hakuna kitu hufurahisha kama mnakutana wote ni bikira.
  Hapa nazungumzia wale ambao amefunga ndoa tayari sizungumzii wale wanaoamua kufanya uasherati kwani ndoa ni baraka na kuwa na mume wau mke wa ujana wako ni baraka.

  Je, ni mambo gani mwanaume au mwanamke ambaye ameolewa na yupo kwenye siku yake ya kwanza ya kuwa na tendo la ndoa anatakiwa kuzingatia?

  MWANAUME

  FAHAMU NDOTO ZAKE
  Kila mwanamke ana ndoto siku moja kuwa na mume anayempenda na kumfanya kutimiza ndoto zake za kuwa mke na kuhudumiwa kama mke idara zote.
  Ni jambo la msingi kwa mwanaume mpya kuwa na ufahamu wa mwanamke aliyemuoa je ni wa kisasa (contemporary) au si wa kisasa (traditional) na kwamba je response yake kwenye suala la mahaba itakuwaje.
  Unavyoweza kumtimizia ndoto zake (kimahaba) ndivyo unazidi kuwa karibu na kufungua hisia zake

  JE, NI BIKIRA
  Suala la kuwa bikira au kutokuwa bikira halina umuhimu wowote na si tatizo lako. Pia haina haja wewe kuwa na msisitizo wa kutaka kujua kwa nini si bikira hapo si mahali pake kujadili sababu hata hivyo kama ni bikira ni vizuri pia kujua kwani kutakuwa na maumivu kidogo na ikiwezekana hata yeye mwanamke kutoa damu kidogo ingawa si kila mwanamke bikira hutoa damu.

  MPE UPENDO KABLA YA KUMTAMANI
  Mwanaume na mwanamke ni tofauti sana linapokuja suala la tendo la ndoa kwani mwanaume hutoa upendo ili kupewa sex na mwanamke hutoa sex ili kupewa upendo hii ina maana kwamba kwa mwanamke upendo kwanza na kwa mwanaume sex kwanza, bila kuwa makini kufahamu hii siri mnaweza kuchanganya mambo.
  Mke atajiweka tayari (open) pale tu wewe mwanaume utakapoonesha upendo, caring, affections nk.
  Kama akili yako na mawazo yako yapo kwenye matiti yake tu na pale chini basi hutafika popote kwani unahitaji kumpa upendo kabla ya kumtamani.

  USIWE NA HARAKA:
  Mwanamke huchukua muda mwingi au mrefu kuwa tayari kwa sex na akishafika anachukua muda mrefu kurudi kwenye hali yake ya kawaida.
  Hivyo usiwe na haraka kama afande.
  Take it slow
  Au hakikisha ameonesha dalili zote kwamba yupo tayari.

  MUULIZE NAMNA GANI NA WAPI
  Mara nyingi kwenye shughuli za mahaba wanaume wote ni ma-genius, ndio wanaoshika usukani.
  Jambo la msingi ni kukumbuka kwamba kila mwanamke ni tofauti na hata mwanamke huyo mmoja anakuwa tofauti kwa siku kadhaa katika mwezi mmoja.
  Kuna siku ukishika matiti husisimka na kuna siku ukishika matiti atajisikia kuumia hivyo using’ang’anie au kuanza kubabaika.
  Ni vizuri kumuuliza kitu gani anapenda na ufanye namna gani anaweza kukueleza kwa maneno au kwa ishara.

  AKISEMA HAPANA HAINA SHIDA
  Kwa kuwa ni mara ya kwanza anaweza akasema hapana, hivyo usiumize kichwa, inawezekana anaona aibu au yupo MP, kumbuka yeye kwanza na si wewe.
  Ni rahisi sana kumvua nguo mwanaume yeyote kwa ajili ya sex hata kama hamjuani au hata kama anatoka sayari nyingine ila si mwanamke.

  USIJIBU JEURI
  Unaweza kuulizwa swali ambalo linakufanya ushangae hata hivyo uwe na subiri na usijibu kijeuri kwani unaweza kumpiga password kwenye feelings zake na ikawa shughuli nzito na mwili mzima ukaji lock ushindwe kufanya chochote.

  UZAZI WA MPANGO NI JUKUMU LAKO MWANAUME
  Kutofahamu njia za kujikinga na mwanamke kupata mimba kama hamuhitaji kuzaa watoto 35 ni kuonesha mwanaume yupo caring na pia upo selfish.
  Siamini kama mnaweza kufika hapa kabla ya kujadili masuala ya uzazi, watoto, mimba na lini muwe na watoto.

  MKUMBATIE, BUSU NA AWE KARIBU
  Kwa mwanamke tendo la ndoa si sex peke yake bali ni pamoja na hugs, kissing, cuddling na kupeana joto kwa foreplay ya kufa mtu.
  Onesha jinsi unavyomuhitaji kwani kuna msema kwamba
  “The way man make love demonstrates his character”
  kama unamjali mke wako mpya basi kitandani ni mahali ambapo unaweza kuonesha mara 1,000 kwamba unamjali na kinyume na hapo wewe ni
  Selfish
  Pleasure seeking,
  Narrow focused,
  Hivyo kiss, touch and feel.

  MWANAMKE:

  MTAZAMO:
  Mwonekano wa nje (appearance) mara nyingi huwezesha wanaume kujipiga switch ya sex haraka iwezekanavyo, pia chemistry ya mwili nni jambo la msingi sana ni kama asset kwa ajili nya sex hata hivyo kwa kuwa na tendo la ndoa zuri siku ya kwanza jambo la msingi kwa mwanamke ni mtazamo wako kuhusu sex.
  Ni muhimu sana kujiamini kwamba unaweza na pia mume wako atakufurahia na kwamba anakuhitaji na upo tayari kusaidiana kuhakikisha wote mnakuwa na wakati mzuri pamoja na ni jukumu lenu wote na si kulala kama gogo lisilo na feelings ukiamini mambo yataenda sawa.

  USAFI
  Ni vizuri sana kuzingatia suala la usafi kwani ni jambo linalopendeza kunukia vizuri katika harufu ya asili ya mwili wako.
  Kwani ukiwa unavutia na mwenye kunukia vizuri basi mwanaume atakuwa crazy tu na atafanya kila analoweza kuhakikisha anakupa kile unastahili.

  MAANDALIZI
  Jambo la msingi ni kwa wewe mwanamke kuwa wazi kuonge na kuongea na kuongea na kuongea, yaani jiweke huru kuwa wazi kuongea kila kitu.
  Kumbuka kubusiana huja baada ya kuongea kwani maneno matamu huleta hamu ya kuwa karibu zaidi kimwili.

  KAMA UPO MP
  Wanaume wengi huwa hawajali kama mwanamke yupo MP au la hata hivyo suala hili hufanya mwanamke mwenyewe asijisikie vizuri ( embarrassed).
  Ni vizuri sana kuwa na discussion na wote mfanye kile mmekubaliana kama hapana iwe hapana kwa wote na kama ndiyo iwe ndiyo kwa wote na si vinginevyo.

  USIMUHUKUMU
  Wanawake wengi wanaamini mwanaume lazima awe kiongozi linapokuja suala la sex hata hviyo wapo wanaume ambao huhitaji ujasiri wa mwanamke ili kila kitu kiende sawa.
  Hivyo ukiona mume wako haoneshi dalili ya kwamba anaweza kuanzisha chochote ni vizuri ukachukua jukumu na katika kuchukua jukumu isifanye kwa dhihaka hadi kuumiza utu wake.
  Anyway huyo ni mume wako, mwili ni mali yako na tendo la ndoa ni haki yako na mali yenu na kila kitu unafanya ni Baraka.

  KILELENI
  Kufika kileleni au kutokufika yote hutegemea wewe na mwenzi wako.
  Ufike kileleni usifike jambo la msingi ni wewe ku-enjoy siku yako ya kwanza kuwa na mume wako na zaidi bado ni grade one so bado safari ni ndefu hadi kuwa na PhD ya mahaba kama mke na mume na ndipo utafurahia kufika kilele.

  KIASI GANI
  Ukweli hakuna kanuni ni kiasi gani inatosha kwani hakuna formula ya how much is too much or too little.

  MWAMBIA “NAKUPENDA”
  Wakati mwingine mzuri wa kumwambie mume wako nakupenda ni wakati wa sex na hapo itasaidia kuweka memories kwenye ubongo wake na hatimaye unaweza kuwa na better sex and fulfilling.
  Kwa maelezo zaidi soma hapa
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  eeh!
  mimi mara ya kwanza sikuinjoi nilikuwa mdogo sana na tulifanyia kwenye majani wakati tunacheza KOMBOLELA!:D
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  asante mama mia...
   
 4. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mama Mia ahsante..... na hiyo avatar yako du!!!!!
   
 5. m

  mungiki2 Member

  #5
  Dec 17, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha
  Mwenzio anazungumzia cku ya kwanza kwa wanandoa siyo michezo ya baba na mama wakati ule wa utoto
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280

  mmmmhhh na wewe ukuogopa nyoka......au kombolela kwetu unafwata nyumba ya mtu ambayo aijaisha hata nyoka akikuona mnasisimuana wote kwa jinsi unavyoshugulikka fasta
   
 7. R

  Ronaldinho Member

  #7
  Dec 17, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh teh,wengi tulianza kwa staili hiyo
   
 8. R

  Ronaldinho Member

  #8
  Dec 17, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That is nice lesson,hata kwa sie ambao hatujaingia kwenye ndoa,na kwa wale amboa hawajahalalisha
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  .....Hata mi nimeipenda. I wish na Mama Mia mwenyewe awe hivyo ingekuwa tamu sana!!
   
 10. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna lessoni yoyote hapo,

  huo ni mtiririko kama wa proposal ya kuombea fedha kwa wafadhiri, lakini hali halisi ni tofauti, wengine hushindwa hata kuingiza siku ya kwanza kwa hofu, ushahidi upo wa kutosha kuwa wengine hata joto la mwili hupanda, na hata kifaa kinaweza kulegea kazi ikashindikana, baadhi ya bikira hutoa harufu ambayo wengine huita mbaya wengine huita manukato ya bikira kwa sababu ya hofu, hivyo ni mchakato tata kidogo unaohusisha saikolojia ya mtu.

  ukitumia kondom ndio kabisaaaa unakimbiza hisia! ukikaribisha mawazo yanayohusu ukimwi umeua kifaaa moja kwa moja, labda ujaribu tena siku nyingine............

  mimi nimewahi kukamua mtu nne siku ya kwanza tu na kati ya hizo nne, moja ilikuwa bikira, nyingine tatu used, kuna kama nane hivi nimekamua siku ya pili tu ya kukutana nazo, kati ya hizo mbili bikira na sita used, ......etc, bikira iliyonisumbua kufungua maishani mwangu ilichukua wiki tatu, na moja ilihama kabla sijaifungua hivyo nikawa nimechemsha!!!!!!!!! bikira ya mwisho nimefungua miezi 14 iliyopita, lakini sasa nafikiria kustaafu kunyemelea bikira kwani sometimes ni risk
   
 11. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu acha kubaka watoto tafadhali.
  Unatuharibia watoto, risk ya kuwaachia magonjwa ya zinaa ni kubwa sana. Ni watoto hao, imagine nawe utakuwa mzazi siku moja utajua uchungu wake. We jisifu tu kutungua bikra za watoto.

   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Dec 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hmmmmmm
   
 13. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijawahi kubaka na wala sitarajii kufanya hivyo maishani mwangu!

  wote walikuwa watu wazima na kabla ya kitendo lazima nijiridhishe vya kutosha kuwa mhusika ni mtu mzima na anakubali kwa hiyari yake mwenyewe bila shinikizo liwalo lote!
   
 14. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii ishu wengine ni kama tushachelewa tayari japo hatujaoa. Imagine mie nilianzishiwa na mdada wa miaka 20 wakati huo mimi nikiwa na miaka 11 tu. Na huwezi kuamini, mhusika alikuwa mamangu mdogo, tumbo moja na mamangu mzazi! Hapo suala zima la kuzungumzia ishu ya 'mara ya kwanza' linachanganya kiaina. Nikipata mchumba sitathubutu kumwambia maana ataumia sana kugundua kuwa mama mkwe ndiye aliyekuwa wa kwanza kutumia kabla yake!
   
 15. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2009
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  mi haikua ndoa,hausigeli wetu huyo ndo alianza kunifundisha 'mambo mabaya' and i was very young,kama miaka tisa hivi!!ila nilipata eksipiriensi bana,miaka minne badae ilikuwa 'ya ukweli' haswa na sikua mgeni.huwa tu nawaza vipi kama angekuwa na 'ngoma'?senk god
   
Loading...