Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi hawa ni marafiki wa kweli au ni wa mashaka?, wapo wananwake wa hivi pindi wakiwa na wanaume wao, wanawabembeleza lakini wana siri kubwa moyoni ya kuwatafunia mali zao tu, je wa kwako yukoje?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Muenzi Mke Wako Kwa kuoa huchukui tu mke, Bali unachukua ulimwengu wako mzima. Kuanzia hapo mpaka maisha yako yote mke wako atakuwa mwenzio, mwandani wako, na rafiki yako mpenzi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza ifahamike mapema ninapozungumza dalili za asiyekupenda kwa dhati, sina maana nachonganisha watu katika ndoa zao, ila kuwatanabahisha kaka zangu kugutuka katika maisha yao ya kila siku...
0 Reactions
19 Replies
45K Views
hi
what is love....
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alikuwa akitokea shamba pamoja na mkewe. Wakiwa njiani waliona uyoga, wakaung'oa na kwenda nao nyumbani kwa lengo la kwenda kupika na kuula. Lakini kabla ya kufika nyumbani, wakahofu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello everybody. I thought I should register with JF and see if ms right can befound for mr right (of Tz origin) with the following profile: 38-year old educated (PhD level), working for...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
KWA MAANA WOTE WAMEFANYA DHAMBI NA KUPUNGIKIWA NA UTUKUFU WA MUNGU!!!AKUNA ALIE PERFECT MPE NAFASI MWENZI WAKO AKIKOSEA KUINGIA kwenye ndoa ni jambo zuri, lakini unatakiwa kuwa makini na aina...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ingredients: 4 Laughing eyes 4 Well-shaped legs 4 Loving arms 2 Firm milk containers 2 Nuts 1 Fur-lined mixing bowl 1 Firm banana Directions: 1. Look into laughing eyes. 2. Spread well-shaped...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Onana na mshauri wa ndoa zinazolega lega mtaalam hashimu/kim tel:0712 30 87 11 ama 0712 97 57 98 usikubali kuvunja ndoa yako..uwezo unao kuiponya ndoa yako wahi sasa kabla aijasambaratika
0 Reactions
24 Replies
4K Views
unanuna nini sasa hao hao unaowaamini ndio wanakuharibia ndoa yako uhusiano wako hao hao unaowaona mabinti wazuri JF hao hao ndio mibaba ya shavu... watch out!!@@@
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A man loved a girl who studies computer science. He sent her a letter saying: I LOVE YOU MORE THAN MY COMPUTER Believe me it is true... You installed the best in me. Your picture is always in my...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Siku ya Wanawake Duniani ni jumatatu 8/3/2010. Napenda kutoa wito kwa Jamii inapaswa kuondokana na na vitendo vya dhuluma na nyanyaso kwa wanawake na wasichana, vinavyodhoofisha afya zao na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi na rafiki yangu tulienda cinema jana, tulipokuwa njiani kurudi binti akasema angependa kuwa kissed kama Richard Gere anavyokiss...then akasema anapenda french kiss na itabidi aende Paris...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Kuna sms zingine ukitumiwa unabaki hoi... hujui ujibu nini.... kama hii niliyotumiwa juzi.... "nina diploma ya kukumbatia,degree ya kutomasa, masters ya kubusu,uzoefu wa miaka 20 wa...
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Tamaa zimeniweka hapa nilipo sasa sina amani ndani ya nyumba nahisi kama nitalipiziwa kisasi,siku za nyuma kidogo nilikuwa na kimada nikampenda na kuanza kudharau mwandani na vituko vingi tu...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
WIKI iliyopita nilikuwa na mizunguko katika mikoa ya Tanga, Morogoro na Dar es Salaam ambako nilikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kushauriana kuhusu masuala ya ndoa. Utaratibu wa aina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yes for a change lets appreciate our men here.. I salute men for sacrifying their life for their families and put their needs behind... Often you see men work day and night to provide food and...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Fikiria wewe umekwenda kwa mpenzi wako (awe wa kike au wa kiume). Mmeanza siku pamoja vyema kwa kwenda shopping na hata kupata chakula cha usiku kwenye mgahawa! Saa imewadia mkarudi nyumbani ili...
0 Reactions
86 Replies
13K Views
Mfunyukuzi ameweka hizo picha za Ug nimekumbuka hili swali lilikua linanisumbua sana - hasa Tz vs Ug wasichana gani ni warembo sana kuliko wa wenzao? Maana kiukweli bongo siku hizi inawaka kila...
0 Reactions
23 Replies
18K Views
Hivi mnadhani uumbaji umekamilika? Kwamba Mungu alimaliza kila kitu ile siku ya saba? Kwamba hakuna tena haja ya kumfanyia binadamu marekebisho madogomadogo? Ukiangalia maendeleo ya ubunifu wa...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…