Mara ya Pili...
Fikiria wewe ni mwanamke ambaye baada ya kuishi na mwanaume kwa muda unaoujua wewe na kwa sababu unazozijua wewe mwanaume hayupo tena na wewe.
Amekuacha na mtoto/watoto na...
Nimetatizwa siku moja na inabidi niulize; hivi mtu anaweza kula huku amelala? Maana nasikia wengine wanaweza kukurupuka usingizini wakapika na kula na kurudi kulala! Wengine hata kukumbuka kuwa...
Father 'strangled his two children with internet cables after discovering wife had used online dating website'
Last updated at 5:56 PM on 22nd March 2010
A jealous husband...
Auditing Hadi Chumbani!
Kuna wakati mwanandoa mmoja anajikuta yupo ndani ya ganda la yai (eggshell) kwa maana kwamba anajikuta anakabiliana na mke au mume ambaye anadhibiti, anayeamulisha...
Memeth J akificha sura yake baada ya moto kwenye danguro alilokuwemoSunday, March 21, 2010 7:06 PM
Moto uliozuka kwenye danguro la mashoga nchini Uswizi ulisababisha wateja wa danguro hilo...
Ukuni wangu!
Isije kuwa ukubwa tu na ndani hakuna Risasi!
Samahani mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42 tatizo langu ni kwamba ukuni wangu hauwezi kusimama kwa muda hata dakika 3.
Ukweli...
Nimpe?
Hupati kitu hadi ndoa kwanza!
Kaka asante sana kwa blog hii na tunajifunza mambo mengi sana kuhusu ndoa na mahusiano.
Mimi ni mdada ambaye kweli Natamani kuolewa hata hivyo mchumba...
Voyeurism ni maradhi ya kisaikolojia ambapo mwenye maradhi haya anakuwa na tabia ya kupenda kuangalia watu wasio na nguo. Mtu mwenye maradhi haya huitwa kitaalamu Voyeur (inasomwa vouya). Kwa...
Personally thread ya Diana-Dabodiff akijitambulisha kwa JF na majibu aliyopata iliniacha hoi. Sijawai kufurahia thread nyingine kama nilivyoifurahia hii
Diana-dabodiff ndani ya nyumba...
Kichwa kwanza, Moyo Baadae!
Unapotafuta mchumba "tumia kichwa chako kwanza" na tumia moyo wako ukisharidhika naye.
Katika ndoa kuna namna tofauti ya kupambana na matatizo au kutoelewana au...
It's official: Marriage DOES make you fat... Men and women twice as likely to be clinically obese after tying the knot
Last updated at 3:23 AM on 20th March 2010
It is often said that...
Tunabeba zaidi ya mabegi!
Baadhi ya wanawake huamini kwamba wanaume wote ni waongo (cheaters) kwa kuwa ndicho ameona wanaume wanafanya au familia aliyokulia na kulelewa wanaume/mwanaume...
Ni Upofu!
Badala ya kutumia kichwa wanatumia moyo na matokeo yake ni upofu uliokithiri!
Hivi hujashangaa wachumba wanavyoingia kwa mbwembwe kwenye ndoa na Wakati mwingine haraka haraka na...
Wadugu wapendwa wa jamiiforums,
Nawasimu.
Kuna kipindi fulani nikiwa chuo niliwahi kwenda buffet moja pale Heritage Motel(DSM-city centre) nilikwenda na wanachuo wenzangu,
niliipenda kwa kweli...
The beginning of love is to let those we love be perfectly themselves, and not to twist them to fit our own image. Otherwise we love only the reflection of ourselves we find in them.
Katika mapenzi watu hukoseana na wakati mwingine hata kuchukizana na kukasirikiana. Na kuna wakati makosa hayo huzaa hadi vurugu na hata kusababisha matumizi ya nguvu (violence) na katika matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.