French Kiss!!!

French Kiss!!!

Annina

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
437
Reaction score
59
Mimi na rafiki yangu tulienda cinema jana, tulipokuwa njiani kurudi binti akasema angependa kuwa kissed kama Richard Gere anavyokiss...then akasema anapenda french kiss na itabidi aende Paris kupata french kiss kutoka kwa wafaransa wenyewe! BF wake alikuwepo wakati haya yanazungumzwa sijui alilichukuliaje lakini msg ilikuwa jamaa hamridhishi kwa kisses (sijui mengine). Jamani wakaka jitahidini kuwajua wapenzi wenu, mtu mpaka anatamani kuwa kissed na Richard Gere wakati yupo na wewe?

Annina
 
mhh haya..
message delivered.
nimekuelewa. hata ukitaka italian kiss,au german kiss..nipo gado...
 
Sipati picha... hasa ukipigiwa mdumange!

Annina

Mhhhh! mnataka kuanza kupigiana mdumange tena!!! hahahahahahah sikujua kama Annina unaujua mdumange...LOL! Haya mpigie mdumange tumuone akijimwagamwaga uwanjani. Boss unauweza mdumange lakini!?
 
hapa mpaka mdundiko...
nini mdumange....
na mduara ndi kabisa....nachukua kombe ha ha ha ha..
unamuonaje lakini shemeji yako?
ndo hivyo,,,,,taratiiibuuu.......
 
Mimi na rafiki yangu tulienda cinema jana, tulipokuwa njiani kurudi binti akasema angependa kuwa kissed kama Richard Gere anavyokiss...then akasema anapenda french kiss na itabidi aende Paris kupata french kiss kutoka kwa wafaransa wenyewe! BF wake alikuwepo wakati haya yanazungumzwa sijui alilichukuliaje lakini msg ilikuwa jamaa hamridhishi kwa kisses (sijui mengine). Jamani wakaka jitahidini kuwajua wapenzi wenu, mtu mpaka anatamani kuwa kissed na Richard Gere wakati yupo na wewe?

Annina

Naam ndiyo haya mambo ya kushughulika halafu hamuongei nini unapenda nini hupendi kutoka kila upande. Mtu anajiona super kweli kumbe! Duuuuh unazungumza hivi mbele ya BF tena kuna 3rd party aibu tupu maana hii ni indirect message kwamba mrembo haridhiki. Na jamaa maskini hakutia hata neno labda itabidi atafute movies zote ambazo Richard Gere alikuwa anakula denda ili aangalie alikuwa anafanza vipi mpaka mrembo wake kuguswa kiasi hicho.
 
Naam ndiyo haya mambo ya kushughulika halafu hamuongei nini unapenda nini hupendi kutoka kila upande. Mtu anajiona super kweli kumbe! Duuuuh unazungumza hivi mbele ya BF tena kuna 3rd party aibu tupu maana hii ni indirect message kwamba mremb haridhiki. Na jamaa maskini hakutia hata neno labda itabidi atafute movies zire ambazo Richard Gere alikuwa anakula denda ili aangalie alikuwa anafanza vipi mpaka mrembo wake kuguswa kiasi hicho.

yaani sipati picha........
 
Naam ndiyo haya mambo ya kushughulika halafu hamuongei nini unapenda nini hupendi kutoka kila upande. Mtu anajiona super kweli kumbe! Duuuuh unazungumza hivi mbele ya BF tena kuna 3rd party aibu tupu maana hii ni indirect message kwamba mrembo haridhiki. Na jamaa maskini hakutia hata neno labda itabidi atafute movies zote ambazo Richard Gere alikuwa anakula denda ili aangalie alikuwa anafanza vipi mpaka mrembo wake kuguswa kiasi hicho.

BAK umesema sawa kabisa, nilijisikia vibaya kiasi fulani lakini nikaamua kuifanya kama joke ili kusawazisha mambo unajua tena utu uzima dawa! Ni vyema kumwambia mpenzi wako namna unavyopenda kufanyiwa lakini sio kwa namna aliyofanya, lakini pia ni changamoto kwamba wakati mwingine ni vyema kuuliza au kutafiti nini mpenzi wako anapenda kufanyiwa kabla Richard Gere hajachukua nafasi yako... mapenzi ni sanaa!

Annina
 
Mhhhh! mnataka kuanza kupigiana mdumange tena!!! hahahahahahah sikujua kama Annina unaujua mdumange...LOL! Haya mpigie mdumange tumuone akijimwagamwaga uwanjani. Boss unauweza mdumange lakini!?

Sijui kama anaujua mdumange..........ngoma ya mdumange si heka yanpoteza mawazo.....

Halijaharibika neno Annina utamfundisha taratibu tu kama haujui mdumange 😉
 
BAK umesema sawa kabisa, nilijisikia vibaya kiasi fulani lakini nikaamua kuifanya kama joke ili kusawazisha mambo unajua tena utu uzima dawa! Ni vyema kumwambia mpenzi wako namna unavyopenda kufanyiwa lakini sio kwa namna aliyofanya, lakini pia ni changamoto kwamba wakati mwingine ni vyema kuuliza au kutafiti nini mpenzi wako anapenda kufanyiwa kabla Richard Gere hajachukua nafasi yako... mapenzi ni sanaa!

Annina

Lazima utafute namna ya kusawazisha mambo maana hii issue mnazungumza wenyewe mkiwa wawili akiwepo wa tatu basi ni noma kuizungumza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom