Nyeti zingekuwa na Pass word... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyeti zingekuwa na Pass word...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Mar 24, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Hivi mnadhani uumbaji umekamilika? Kwamba Mungu alimaliza kila kitu ile siku ya saba? Kwamba hakuna tena haja ya kumfanyia binadamu marekebisho madogomadogo? Ukiangalia maendeleo ya ubunifu wa vitu kama magari utaona yamepitia hatua nyingi hadi leo hii, na bado uboreshaji unaendelea. Kwa upande wa binadamu, tangu alipopumbwa hivyo alivyo, ndivyo alivyo na atakavyokuwa hadi dahari. Lakini ingekuwaje kama kutokana na purukushani hizi tunazoziona leo za mtindikio wa uaminifu katika mahusiano na hatimaye visa na mikasa, binadamu akawekewa pass word kwenye nyeti ili kuzuia mwingiliano usio rasmi? Hii pass word ifanye kazi tu pale ambapo mihemko ya kimapenzi inaaza ndipo nyeti zijilock kwa namna itakayokuwa muafaka. Hapo ndipo mwenye 'pini' aidha azitaje kimoyomoyo au kwa njia nyingine ili access ipatikane. Hii pini atakuwa nayo mtu mmoja tu. Kama nyeti ni za mwanamke, basi pini awe nayo mwanaume tu bila ya mwanamke kuitambua, and vice versa. Haya marekebisho yangeokoa ndoa nyingi pamoja na kuleta ahueni duniani. Ni rasimu tu
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nadhani ulimaanisha "alipoumbwa"

  Kwa mtizamo wangu, akili alizopewa Mwanadamu zatosha sana!

  Lau, kama mtu atampenda mtu asiye rasmi, na LOCK ikafunga, watahangaika wawili hao hadi waisambaratishe hiyo system ya PIN!...

  You can take my word to the bank!
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahha nilishawahiwaza ingekuwaje kama kungekuwa na kubadilishana- mume unatoa chako unamkabidhi mke na mke watoa unamkabidhi mume kila asubuhi kabla ya kutoka kwenda kazini kisha mnarudishiana jioni mkirudi
   
 4. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni mawazo tu Mkuu.. Lakini tusivuke mipaka tukaanza kumkosoa Muumba.. Yeye alimaliza kila kitu katika uumbaji wake.
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  mbona china kila kitu kinapatikana mkuu!!
  kama unataka password, nenda Chuang Chi uone sasa!
   
 6. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  you are out of your mind. sijui ulitendwa wewe? kwa kifupi kuongea hivyo ni kumrekebisha Mungu na ni kufuru. tubu haraka. pili, usifikirie mambo ya kumbana mkeo kihivyo, password iko moyoni pale atakapokuwa na hofu ya Mungu. utakuwa na amani ya ajabu na hautakuwa na hofu ya kuibiwa kihivyo. sikia?
   
 7. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #7
  Mar 24, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  MJ1, sasa maswala mengine ingekuwaje? au kila kitu hadi jioni? maana hapo sasa mchana kutwa hakuna kunywa maji, au? na ingekuwa vipi mtu akisafiri?
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Weweee! hapa tunapiga porojo tu!!
  stuka!!.....acha haraka.
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  mzee hiyo kitu ya pini ingekuwa inborn kiasi cha kuwa ngumu kuisambaratisha. Pia wadau wasihofu sana kwani ni mitazamo tu ila ingeweza kujenga
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hiyo nayo ingezua balaa zaidi kwani wanawake wangetaka sana kujaribu ku do ila wanaume wasingethubutu
   
 11. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,956
  Likes Received: 21,117
  Trophy Points: 280
  je iwapo huyo mmoja atakufa ghafla??
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hizo za kichina feki. Mlengwa anaweza kuitengua
  waekeze, mkuu ila labda Godi pia anaweza kuifanyia kazi hii proposal
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa hacker wa password (pin) zenu.
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hapo Mungu angeweka plan B kumuokoa aliyebaki asije akafungiwa daima
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hizo locks ni inborn, mkuu not man made
   
 16. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  duh!!! leo sijui umeamkia wapi????? MJI pia umenifurahisha....we acha tu watu jamani waaminiane tu!!
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kungekuwa na mita unasoma ujue mwenzi wako kapitia
  au kapitiwa na wangapi,pasingekalika.............
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  naunga mkono password za nyeti ziwekwe...
   
 19. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  si anatuma secret question apewe password
   
 20. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Mamii hapo unazungumzia simu za mkononi au? [​IMG]
   
Loading...