I salute and love men

Noname

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,269
28
Yes for a change lets appreciate our men here..

I salute men for sacrifying their life for their families and put their needs behind... Often you see men work day and night to provide food and shelters to their families... and yet you still find some women after giving birth choose their kids over their husband...

I salute men for keeping up with our nagging... after a very long day at work they are often welcomed by nagging and never ending demands...

ok its mid night here I will continue morning...
 
thanx....
and stay blessed.....
if more women could think like u.........
 
at least today you have said what you deserve............ and successifuly imparted to me a good idea about women............... but lets thank God for having mercy over us all (both men and women) ..............we tirelessly endure rspective hardships and challenges to make life take is course and our families go further steps.........

you will be blessed for this.............. sure, open your arms and hug on, the blessings are comming.................
 
Hongera kama mumeo yuko hivyo! Lakini sio wote mwenzetu waume wanatofautiana! Kuna wenzio wanalia kila siku kwenye majumba kwasababu hizo hizo ulizoziainisha wewe. Again kama wako yuko hivyo shukuru mungu tuu, na unyamze!
 
ashukuru na anyamaze???
hivi huwa mnaelewa mnayoyasoma humu
au mnakurupuka tu???

nakushauri usome upya na uelewe...
hajazungumza kabisa kuhusu mume wake hapo....
wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
Thanks. You got it right !!! Very few women think like you. They just think men are there to satisfy there non-ending demands. Wakati mwingine huwa nawafikiria hata sipati majibu. Asante dada, ubarikiwe.
 
Ushabadilika tena hupendi pochi? unawapenda wanaume wote!?

Fixed Point said:
Mmmh! itakuwaje sasa ukipata mkaka ambaye ata-make money less than you do? mapenzi ndo yataishia hapo, au?

Noname said:
then may be i wont consider marrying him...
 
Oh Thanks! kwa maneno mazuri leo siku itakuwa njema sana.Maana kila siku tumezoea kusoma au kusikia malalamiko kwa wanaume.
 
At least umenifanya niamke salama leo kuona umetambua umuhimu wa mwanaume na thamani yake katika familia. Hangera bibie,nadhani u mfano wa kuigwa japokuwa si wanaume wote wako hivyo hii inaleta changamoto kuona mchango wao unathaminika na wale ambao wako tofauti angalau kupata mfano wa kuiga. Senx mami!
 
Hii siku naona imeanza vizuri..ngoja kuna 'waosha vinywa' wakiamka hapa itakuwa hapatoshi
 
Yes for a change lets appreciate our men here..

I salute men for sacrifying their life for their families and put their needs behind... Often you see men work day and night to provide food and shelters to their families... and yet you still find some women after giving birth choose their kids over their husband...

I salute men for keeping up with our nagging... after a very long day at work they are often welcomed by nagging and never ending demands...

ok its mid night here I will continue morning...

and I solute women for giving their lives to their families, no matter what a woman will still love her family despite all the load of caring for her children she will save her husband with love, .........................
 
Pale inapopasa, wacha ukweli usemwe! Atleast mwanaume leo amepewa credit. Si kila siku yeye ndio wa kulaumiwa mambo yakienda mrama hata asipostahili lawama, kisa yeye ndio kichwa cha family!
 
Kumbe kuna wakati wanaume nao wanakuwa appreciated? Hii ya leo nimeipenda kweli kweli maana tumezoea kuambiwa ni wajibu wa mwanaume bila kujali the toiling . Senksi No name .
 
Yes for a change lets appreciate our men here..

I salute men for sacrifying their life for their families and put their needs behind... Often you see men work day and night to provide food and shelters to their families... and yet you still find some women after giving birth choose their kids over their husband...

I salute men for keeping up with our nagging... after a very long day at work they are often welcomed by nagging and never ending demands...

ok its mid night here I will continue morning...
Jamaa ndo amerudi nini?

Asante sana bana. kumbe unatambua eeh!
 
Yes for a change lets appreciate our men here..

I salute men for sacrifying their life for their families and put their needs behind... Often you see men work day and night to provide food and shelters to their families... and yet you still find some women after giving birth choose their kids over their husband...

I salute men for keeping up with our nagging... after a very long day at work they are often welcomed by nagging and never ending demands...

ok its mid night here I will continue morning...
Thnx for ur positive thinking.
God bless u na uzao wako, leo na hata milele...
 
Laiti mngejua jinsi gani maneno kama haya usiku pembeni ya mwandani wako yanaweza kumfanya kuanzia kesho yake arudi nyumbani mapema, akae na watoto na kubadilika kabisa. Just try and you'll tell me. Thanks noname! Umenifanya nilengwe na machozi kidogo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom