Tuwe macho na nyumba ndogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwe macho na nyumba ndogo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kobonde, Mar 28, 2010.

 1. kobonde

  kobonde Senior Member

  #1
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tamaa zimeniweka hapa nilipo sasa sina amani ndani ya nyumba nahisi kama nitalipiziwa kisasi,siku za nyuma kidogo nilikuwa na kimada nikampenda na kuanza kudharau mwandani na vituko vingi tu nilimfanyia kibaya zaidi hakuwahi kunikosea nilikuwa najisikia kutompenda na kuhamishia mapenzi kwa kimada lkn kimada huyo hakuwa mtu mzuri kwani alikuwa akipenda kujua sana mambo ya nyumbani kwangu mimi na mke wangu tunaishije,sikusita kumwambia na alikuwa akinishauri vizuri siku za mwanzo lkn baadae akawa anataka nimfanyie visa mke wangu nilikuwa nikimridhisha kwa kumuitikia ingawaje hakuridhika,akawa ananiambia nimpigie sim mke wangu nimseme ovyo nami nilifanya yote hiyo aamini nampenda.lkn kumbe mwenzangu mwingi wa habari kwasasa tumeachana nipo na my wife amenisamehe lkn mara nyingi namuona hana raha kuwa nami saa nyingine analia peke yake,NIFANYEJE MKE WANGU AWE NORMAL
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sijui mkija mjini mkiwa watu wazima
  ndo madhara yake haya au vipi?
  utamdharau vipi wife wako kwa mwanamke
  wa nje?
  halafu unaambiwa fanya hivi na wewe unafanya????
  anza kwa kupimwa akili,labda una tatizo la akili
  wajanja huhakikisha wife hajui wala hapati sababu ya kulalamika.....
  kila kitu ni kimya kimya kama nyoka....
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mh na nyie wababa jamni..pitia Angaza kwanza!
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mwambie huyo mkeo amPM noname......... ana ushauri fulani mzuri akiufuata tu hutamuona akilia tena.........
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  That is it! Nyumba ndogo sitaki kabisa kusikia katika maisha yangu maana najua adha yake. Nitajiandalia tatizo la baadae bila kujijua! Naomba mungu apitishie mbali balaa hilo!
  Mzee hapo bwana ni kufanya toba ya kweli na kumthibitishia mweza wako kwamba kweli umejirudi. Ila tambua fika, imani ikishaondoka inataka kazi kuirudisha. Kesho na keshokutwa ataaminije umeacha kabisa mambo ya nyumba ndogo?
   
 6. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kabonde, kwanza pole kwa yaliyokukuta. Pili, nadhani ushauri uwe wa kukusaidia wewe uwe NORMAL sio mke wako, yeye yuko normal na anachofanya sasa ni normal kwa mtu aliyeumizwa... wewe ndio hauko sawa kuanzia ulivyoanzisha na kuhandle mahusiano yako na the so called kimada mpaka namna unavyohandle consequences zake - yaani unadhani mkeo ndio hayuko normal - shame upon ur big face!


  Annina
   
 7. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #7
  Mar 28, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ila kiukweli nyumba ndogo kuna raha aaa!! tuweni wakweli wanakwetu.
  Jamaa angu mi nakushauri;
  1.Mpende mkeo kama mwanzo.
  2.Mheshimu katika kila jambo.
  3.Msikilize
  4.Mpe nafasi ya kuzungumza lolote lilobaya juu yako au jema ulilomfanyia,wanawake wanapenda sana kuongea maneno mengi mwache aoongee muda wote.
  5.Mfanyie maradufu yale mema anayotaka kutoka kwako
  6.Kuwa mbunifu zaidi - najua unaelewa hasa ninachosema hapa.
  7.Fika nyumbani kwa muda stahili bila kuchelewa
  8.Usijielezee sanaa kwa mamneno mengi unapochelewa kurudi nyumbani na usitoe maelezo kwa mkato.
  9.Pata muda wa kukaa na mkeo pekee yenu.
  10.Msifie anapofanya jambo la kukufurahisha mf. amependeza,mrembo,anakuvutia na unampenda.
  11.Kula chakula chake kila anapoandaa hata kama utaonja sehemu nyingine hakikisha unakula home.
  12.Mnunulie zawadi yoyote tu, si unajua mzee!!!!!!!!
  13.Mwache awe huru kwa mambo yake,mf. simu yake,gari lake na mpe muda wake(me time).
  14.Mtamkie unampenda mara kwa mara unavyoweza na bila macho ya aibu,kwasababu ni mkeo afu kumbuka huyo tu ndo mtu wa karibu yako,man.
  15. Mjali Mkeo bwana na usimwonee aibu huyo ndo maisha yako,kaka!
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  Enhe ndo gia zenu hizo tobaaa haya hizo nyumba ndogo zenu mnaleta maradhi na kujiongezea presha tu!
  Mpe pole mwenzio maana anakumbuka shuka wakati kumeshakucha:rolleyes:
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,568
  Trophy Points: 280
  Ndiyo hapo sasa! Mwingine anabondea nyumba ndogo mwingine anasifia....bahati ya mwenzio........
   
 10. Sydney

  Sydney Senior Member

  #10
  Mar 28, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana kaka, hayo ndio maisha na siku zote tunajifunza kutokana na makosa! Kama kweli umejijua wewe ni mkosaji, basi zidisha apendayo, jitahidi kua mpole kipindi chote hasa unapoona anajisikia vibaya, mbembeleze sisi wanawake tnapendwa kubembelezwa, keep on doing that, ipo siku atarejea katika hali yake ya kawaida na ndio itakuwa moja kwa moja. Mtakuwa kwenye ukurasa mpya!
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,568
  Trophy Points: 280
  Maneno murua kabisa hayo. Ukimuumiza mwenzio kimapenzi basi ni kuomba samahani mara chungu nzima na kumbembeleza kadri uwezavyo. Kila la heri Mkuu.
   
 12. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Pole.
  nyumba ndogo huwa ziko kwa ajili ya kutaka kitu fulani. ikishapata tu, sababu zinaanza.. Ulikosea sana kumsema vibaya My wife wako...
  Je uliwahi kumwambia una mwanamke mwingine? Au kubadilika kwako tabia ndio kulimfanya alihisi una mwanamke nje????
   
 13. kobonde

  kobonde Senior Member

  #13
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tabia zangu chafu zilimfanya ahisi na alikuja kugundua baada ya mimi kuachana na mwanamke wa nje na nilifanya yote hii kusudi aniamini lkn naona kama nimeharibu
   
 14. kobonde

  kobonde Senior Member

  #14
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  amPM noname....popote ulipo nahitaji msaada
   
 15. kobonde

  kobonde Senior Member

  #15
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Itakuwa safi kama utakuwa hivyo,sasa hivi hata niende kwa rafiki zangu nikirudi kanuna
   
 16. kobonde

  kobonde Senior Member

  #16
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli kuna raha lkn mwisho ni kasheshe ni kheri kuiepuka hiyo raha kama bado hyajakukuta,nashukuru kwa ushauri nitajitahidi
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280

  mzungu mmoja aliambiwa ukifika tanzania ukiuliza swali lazima ujibiwe na swali..alipofika airport akauliza nasikia tanzania mkiuliza maswali mnajibu kwa maswali""akajibiwa ""nani kakwambia""

  amefanya kosa kuuliza swali hapo juu hatopata jibu jf
  ndugu labda kwa kukusaidia tu usiangalie majibu yanayokukatisha tamaa ...biblia inasema """kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu akamtoa mwanae pekee ili kila amwaminie awe na uzima wa milele""kama unaamini hivyo basi ujue msamaha uko kwa ajili yako...........

  Labda muhimu naomba nikuhabarishe kuna dhambi nyingine unaweza kumtendea mtu kwa macho kumbe unamtendea mungu...especially wanawake ..wle huwa wanasema na mungu straight maombi yaop yanajibiwa haraka sana..ndio maana ukiwa na shida nyumbani muite mkeo ukiomba mwenyewe shuguli unayo...so naomba ni kuwatch out

  zipodhambi ambazo ausamehewi mpaka umwombe radhi mungu na utaje upuuzi wote uliokuwa ukifanya na hapo mungu anakusamehe..na kama possible sali ukiwa na huyo mkeo.....unaweza ukaona umeomba msamaha kwa mkeo amesema nimekusamehe lakini mungu bado ajakusamehe mpaka uombe toba ya kweli kwa mungu akupe rehema zake...usijali utosamehewa utasamehewa ila ili usimame imara tubu na kwa mungu wako ukiwa na mkeo!!!

  Nawatakia nyumba bora yenye mafanikio bila wa
   
 18. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  AKili habari za jumapili? weekend vipi huko? Imekuwa hivyo tena? haya bana..

  Kibonde muembe msamaha mkeo lakini usirudie tena...itachukua muda kusamehewa lakini wanawake tuna very soft hearts... she will forgive u, time hills :rolleyes: but be good with her... show her that you have changed and are ready to make up with her
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  ana lake jambo huyu mpelekeni kwa kakobe!!!!!
  Awachelewi kuomba na zao za simu
   
 20. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kama hujamwambia, mimi kwa upande wangu, naona bora usimwambie sasa hivi, tuliza bolu ila lazima umwambie atakapotuliza hasira.. Usiongeze mafuta kwenye moto.. Jaribu kuhisi kama hilo jambo angefanya yeye, hata angeomba msamaha wa aina gani, lisingetoka moyoni kwako. Na siku moja ungelipiza kisasi.
   
Loading...