sms ya mrembo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sms ya mrembo...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Mar 27, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Kuna sms zingine ukitumiwa unabaki hoi...
  hujui ujibu nini....

  kama hii niliyotumiwa juzi....

  "nina diploma ya kukumbatia,degree ya kutomasa,
  masters ya kubusu,uzoefu wa miaka 20 wa kupenda,utanipa
  kazi gani ndani ya kampuni ya mwili wako?"


  [​IMG]
  .
  mrembo mwenyewe ndo huyo hapo,
  ni member hapa jf..
  sijui nimjibu nini???
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Asante ni neno dogo ila lina ujumbe mzito ndani yake!:)
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  we hulali?
  sasa nimjibu nini huyu mrembo????
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh walinzi huwa hatulali
  Mwambie iyo pic sio yake kaiiba sehemu ina muhuli, Hhehe hehe mwambie HUDANGANYIKI!
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  acha wivu
  mi namwambia kazi umepata.
  ila aonyeshe bidii kwanza..
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hehe hehe usije uziwa mbuzi kwenye gunia:rolleyes:
   
 7. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  sijui boss gani huyu hajui hata mitego ya kuibiwa,ngoja nimtafute kicheche mmoja nimsajili hapa tupige dili maana ming`ombe kibao.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,059
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhh! I reserve my comments ;)
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,059
  Trophy Points: 280
  BOSS ni lazima uhakikishe kwamba hiyo picha ni valid isije ikawa unaingizwa mjini halafu akakwambia ahhhhh! nilifanya mazoezi saaaaana :) basi WOWO lote likapotea...LOL! Mjini hapa BOSS you have to be extra careful before you commit. Good luck and All the best.
   
 10. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2010
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mwambie akuoneshe kwanza uzoefu wake wa nyuma ndo kazi iwepo.
   
 11. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Aonyeshe bidii ktk nn sasa CHIEF?
   
 12. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  jamaa yangu naona hajababatwizwa na wale wa9ja,wakimpata na habari yapicha tu,watamkula kichizi,the boss kuwa makini mkuu.
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mkuu sio picha tu..
  nimemuona live....
  kuniibia itakuwa ngumu,siko easy ki hivyo.
  bado namfikiria,sijampa kazi bado....
   
 14. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #14
  Mar 27, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  teh teh te eeee hh!
  boss umeacha hoi chali kitandani sina mbavu - huna kifua!?
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  upo chali kitandani???
  mhh,kifua kipi?
   
 16. r

  ral Senior Member

  #16
  Mar 27, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu yaani hiyo picha ulioyo iweka ndio inakunizingua? hata kama umemuona, that is not the basic thing, swali ni kuwa , je do you match with her in terms of tabia e.t.c. Do you want to take her as a wife? To me she doesn't deserve. Thats is my opinion, am sorry if I am wrong, but frankly speaking, sitoweka such a photo kwa mtu ninaympenda kwenye tovuti. Maoni yangu.
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mkuu sijui how old are you..
  but kadri utakavyokua,utakuja kuelewa
  kuwa si wanawake wote wanataka kuolewa,
  wengine wanataka a fling tu,
  na sio relationship zote ni za kuoana,zingine for fun....
  kuhusu picha,sijamuonyesha sura,na hapa kwenye
  tovuti,wapo wengi wenye picha zao za kweli na wapo
  very decent,umenipata??????
   
 18. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #18
  Mar 27, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kimyaaaa!! sina tena la kuongeza!!
  hata hivyo ndo zetu, ww huyo wa ukweli na ukimwachia huyo utapitwa na kila kitu mwanakwetu!
  Anawaka namna hiyo pinduka tu ila using'ang'anie!!!!!!!
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Mar 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hiyo picha ya ATLNIGHTSPOTS.COM......

  Kama sikosei ilipigwa pale Gold Room...
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  really?
  basi atakuwa anafananai sana,
  nimemuona live na yuko exactly
  kama hiyo picha.........
   
Loading...