Mpenzi wako akifanya kama hivi utamuuliza? Utaanzaje kumuuliza?

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Fikiria wewe umekwenda kwa mpenzi wako (awe wa kike au wa kiume). Mmeanza siku pamoja vyema kwa kwenda shopping na hata kupata chakula cha usiku kwenye mgahawa!

Saa imewadia mkarudi nyumbani ili kumega tunda na kupeana raha! Mkaanza michezo ya kimahaba mpaka wote mkawa teyari kwa tendo!

Unafungua droo ya kitanda kuchukua kondomu, unapigwa na butwaa kwani mara ya mwisho uliacha pakiti moja yenye kondomu 3 tena imefungwa (sealed); ila hapo unaikuta imefunguliwa na tena kondomu 1 imetumika zimebaki 2.

Tangu mkutane mara ya mwisho hamja kutana tena yapata kama wiki 2 hivi na hapo sasa ndiyo mmekutana! Unahisi kuna jamaa/demu anakutafunia mpenzi wako! Unaanza kuwa na mashaka kwamba mpenzi wako sio mwaminifu kwako! Unajiuliza maswali mengi bila majibu!

Ukikutwa na hali kama hiyo utafanyaje? Utasitisha zoezi la kula tunda ili umuulize kondomu 1 imeemda wapi? Ameitumia kwa nani? Utafanyaje kuzuia presha na hasira? Je, utaendelea na chezo?

Msaada unahitajika!
 
msaada wa haraka Pape kwani bado mko hapo kitandani??
 
hehehehehe! kwa hii kitu watu wengi lazima kiende doro! ila kama una ukame utauliza baada ya kazi!
 
mh, mwenzangu mi nitavaa nguo zangu na kutimua, siwezi nina wivu sana!
 
Nitamuuliza kwanza na hadi anipe majibu ya kueleweka lasivyo huduma itasitishwa kwa muda loh!
 
Swali lina Mtego hilo....Hivi una njaa na chakula unaiona hapo mezani si utakula kwanza ushibe baadae ndo unaanza kuhoji maswali:D

Hahaha sina uhakika sana cause nahisi hamu yote ya kuendelea na zoezi itapotea
 
msaada wa haraka Pape kwani bado mko hapo kitandani??

bht umenifanya nicheke mpaka sina mbavu! ni kweli lakini alivyo-present hii issue as if bado wapo kitandani sasa anataka ajue kama aendelee au aache
 
hehehehehe! kwa hii kitu watu wengi lazima kiende doro! ila kama una ukame utauliza baada ya kazi!

Pape kumbe unazungumzia aliye-cheat ni mwanamke! maana kama aliye-cheat ni mkaka, mdada itaendaje doro?
 
Kula kwanza zigo,kisha baada mwambie THIS WAS MY LAST NANIHII with u.
Coz i was longing kufanya na wewe kavu kavu kwenye maisha ya ndoa lakini naona condoms zinazidi kupungua tu humu ndani.
Sasa let me leave othrs kuendelea
 
kumbe wewe ndo humjui mtu anayeyajali maisha yako!!uyu mbona anajali sema tu analala na mwingine ila anaujua uthamani wa maisha,,,maana uaminifu katika r'ships nyingi kwa % kubwa ni zero kabisa
 
Si afadhali huyo anajali kwa kutumia kinga, na ukikuta anafanya bila ya kinga na wewe huna habari? Mimi nitajipa moyo kuwa afadhali ametumia kinga hivyo yuko salama,
 
Kisa cha kuidhulumu nafsi yako? Si mnatumia kinga? cheza salama ukishamaliza ndo unauliza habari ikoje. Akikuletea zisizoeleweka unachapa lapa ilhali nafsi imeridhika ebo!
 
Fikiria wewe umekwenda kwa mpenzi wako (awe wa kike au wa kiume). Mmeanza siku pamoja vyema kwa kwenda shopping na hata kupata chakula cha usiku kwenye mgahawa!

Saa imewadia mkarudi nyumbani ili kumega tunda na kupeana raha! Mkaanza michezo ya kimahaba mpaka wote mkawa teyari kwa tendo!

Unafungua droo ya kitanda kuchukua kondomu, unapigwa na butwaa kwani mara ya mwisho uliacha pakiti moja yenye kondomu 3 tena imefungwa (sealed); ila hapo unaikuta imefunguliwa na tena kondomu 1 imetumika zimebaki 2.

Tangu mkutane mara ya mwisho hamja kutana tena yapata kama wiki 2 hivi na hapo sasa ndiyo mmekutana! Unahisi kuna jamaa/demu anakutafunia mpenzi wako! Unaanza kuwa na mashaka kwamba mpenzi wako sio mwaminifu kwako! Unajiuliza maswali mengi bila majibu!

Ukikutwa na hali kama hiyo utafanyaje? Utasitisha zoezi la kula tunda ili umuulize kondomu 1 imeemda wapi? Ameitumia kwa nani? Utafanyaje kuzuia presha na hasira? Je, utaendelea na chezo?

Msaada unahitajika!

Pape... kuna wakati nikisoma posts zako namkumbuka member mmoja humu ndani, yuko very controversial
 
Back
Top Bottom