Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Once upon a time there was a teacher and his student lay down under the big tree near the big grass area. Then suddenly the student asked the teacher, Student : Teacher, I'm confused how we find...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
someone more than urself...or in other words dont love anyone to the point of loosing urself...because if u do u allow them to control u or take advantage of u. In any relationship we have to...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
wiki hii nataka kuzungumzia namna ambavyo usipoangalia unaweza ukamshawishi mpenzi wako akusaliti bila wewe kujua. Nataka kuligusia hili kwasababu, nimegundua kuna watu wanaowapenda sana wapenzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KWA MUJIBU WA KUMBUKUMBU ZANGU,you must have quit the club JUMPING TO ANOTHER NEW CLUB KWA HESHIMA NA TAADHIMA,KWA NIABA YA WANACHAMA WENZANGU WENGI ninakukaribisha sana kwenye ''NEW CLUB''.a no...
0 Reactions
83 Replies
7K Views
wanywaji(sipendi kuwaita walevi) pombe wengi mara nyingi husema kuwa watu wasiokunywa pombe, si bure ni lazima wana ulevi wao.Wengine husema asiekunywa pombe atakuwa malaya au mpenda muziki sigara...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna wale wenye tabia ya kumpeleka mpenzi wake nyumbani kwake na kucheza nae mechi kwenye uwanja wa taifa(bedroom) huku wakiwa ni wake au waume za watu:SOMENI HII: Jana maeneo ya kinondoni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya watu utawasikia wakisema' huyu ni family friend', kuna mzoefu anajua faida au hasara za familyfriendship?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
najisikia kumchoka mwenzangu bila sbbu yuko sawa kila k2 ila sina ham naye tena kama zamani tulipokuwa wachumba najitahidi nashindwa sina nyumba ndogo ila natamani wakti mwingine ila cjawahi fanya...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
UKWELI NI KWAMBA,kutakuwa na very very very hot and serious programme JS KOKOTE ULIKO JIPANGE SAWASAWA,nadhani unajua nina maana gani WAPWAAZ,mabinamu,marafiki na wote wenye mapenzi mema...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna Mjadala huu wa wanaume kusaidia akina mama kuwapeleka watoto wao kiliniki! Mtazamo mmoja unaona hili kama ni kubeba kila kitu cha wazungu na kwamba huu ni mtazamo ulipigwa tope la kikoloni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau mtakubaliana nami that mwanamke ni kama njugu....tafuta ile ambayo imekomaa...tafakari!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naomba usaidizi wenu wana JF, nina jirani ambaye ananikera lakini nimeshindwa kumueleza. Huyu jirani ni mlady mwenye umri wa kati and a single mother of two (boy n gal) issue ni kwamba she's a...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
.....kutoka makambako,naileta kwenu hii kitu:
0 Reactions
62 Replies
7K Views
To realize The value of a sister/brother Ask someone Who doesn't have one. To realize The value of ten years: Ask a newly Divorced couple. To realize The value of four years: Ask a graduate...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wapendwa, leo nimeingia mji wa Mwanza na kwa furaha kubwa saaana tu kuna yeyote aliye mwanza tutafutane jamani?? kituko ni kwamba nimekutana na sewerage inajengwa ukitoka tu airport, furaha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwanini watu walioelimika wasionyeshe mfano mwema katika tabia wao ndio wamekuwa mstari wa mbele katika kuonyesha ni jinsi gani jamii inaweza kuishi katika uzinzi ulevi na kila aina ya machukizo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Really funny!!! Hii ni true story kabisaa, kuna dada mmoja kamegwa na mume akagundua, sasa jamaa akamconfront mwizi wake na kumuomba aache... mwizi akaacha, basi imekua tabu nyumbani! mwanamke...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana. Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Wewe ungeamua nini…??? Kuna jamaa kaoa lakini pamoja na hayo ana kimada nje ya ndoa yake. Mkewe alishatonywa lakini aliamua aanze na uchunguzi. Sasa kuna siku baba aliamua ku-surprise kimada...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom