Kuna ukweli kuwa wasiokunywa pombe wana ulevi wao?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
wanywaji(sipendi kuwaita walevi) pombe wengi mara nyingi husema kuwa watu wasiokunywa pombe, si bure ni lazima wana ulevi wao.Wengine husema asiekunywa pombe atakuwa malaya au mpenda muziki sigara au...............,je kuna ukweli wowote?
 
it is not true. it is just superstition. tunawaona walevi wengi umalaya uko nyuma yao. wengi hawanywi kwa sababu mbalimbali si kwamba ni inborn so hakuna relation kabisa na kuwa na ulevi usio wa pombe.
 
Hao walevi wanajiliwaza tu, yote hiyo ni kujiondolea msongo wa moyo kuwa si wao peke yao wenye matatizo kuna wasio kunywa nao wana matatizo au ulevi wa aina yao.
 
15 REASONS WHY ALCOHOL SHOULD BE SERVED AT WORK...

1. It's an incentive to show up.
2. It leads to more honest communications.
3. It reduces complaints about low pay.
4. Employees tell management what they think, not what they
want to hear.
5. It encourages car pooling.
6. Increase job satisfaction because if you have a bad job, you don't care.
7. It eliminates vacations because people would rather come to work..
8. It makes fellow employees look better.
9. It makes the cafeteria food taste better.
10. Bosses are more likely to hand out raises when they are drunk.
11. Salary negotiations are a lot more profitable.
12. Employees work later since there's no longer a need to relax at the bar.
13. It makes everyone more open with their ideas.
14. Eliminates the need for employees to get drunk on their lunch break.
15. Employees no longer need coffee to sober up.
 
15 reasons why alcohol should be served at work...

namba 4 inaniacha hoi,hadi wafanyakazi walewe ndio watoe maoni?
 
it is not true. it is just superstition. tunawaona walevi wengi umalaya uko nyuma yao. wengi hawanywi kwa sababu mbalimbali si kwamba ni inborn so hakuna relation kabisa na kuwa na ulevi usio wa pombe.
.
Asante Remmy, nilikuwa sinywi pombe, nikalaumiwa kwa kuwa mlevi wa mambo mengine, sasa ninakunywa pombe, nikilewa hayo mengine ndio kabisaa!.

Ulevi wowote is just an atitude, ukizidisha unageuka addiction, hivyo ulevi wa kitu fulani its just a trend. Nimesoma Tambaza, watu wanatafuna jani mbaya kule Summit na form IV wamepiga one safi za kuanzia 7-10. Sisi tulioogopa jani tukaishia kwenye II. Form five na six na mimi nikaona nijaribu jani, linatituma vingine, wenzangu na jani wametoka na one za point 3 mimi kujikuta kule kule II, hivyo ulevi fulani hauna formular yoyote.

Kwenye wadada zetu wapiga viwanja, wako wapiga viwanja kwa ajili ya shida ili kutafuta pesa, na wako wapiga viwanja, toka familia bora, just for fun, huo nao ni ulevi pia. hakuna formular.
 
Mi si mnywaji wala mlevi, na ulevi wangu si kama unavyotaka tuamini kwa jinsi ulivyoleta hii mada jukwaa hili. Mi ulevi wangu ni mchezo wa pool
 
mi nina jirani yangu hanywi pombe!!.........lakini anawanawake kama kumi, na wote wanajuana.
na anakuwa na maingizo mapya mara kibao tu!!
yeye utamkuta kwenye gari yake ananukia pafyumu nzuri, yupo sober muda wote, LAKINI WEEEE!!!!!

Tuseme kweli bana!!!
 
mi nina jirani yangu hanywi pombe!!.........lakini anawanawake kama kumi, na wote wanajuana.
Na anakuwa na maingizo mapya mara kibao tu!!
Yeye utamkuta kwenye gari yake ananukia pafyumu nzuri, yupo sober muda wote, lakini weeee!!!!!

Tuseme kweli bana!!!
vipi afya yake?
 
vipi afya yake?

kama anamiliki wanawake zaidi ya 10, na maingizo mapya unafikiri afya yake ikoje??
kwa maana ya mwonekano..........yupo fit ile mbaya.......ndani sijui kama ameoza. lakini namfahamu long tym....yupo hivyo hivyo

kuna jamaa mwingine tena, yupo tayari kuwanunulia machizi bia kadhaa, ili wawe around..yy akadumishe mila, ili arudi awakute, then apige simu kwa wifey kumwambia nipo na washkaji hapa.....ongea na nanihii!!
 
nani anabisha? ni ukweli kabisa tena ulevi wao ni afadhali wanaokunywa pombe wanaishia kujilalia tu na pengine kutoa nafuu nyumbani.hawa wasiokunywa pombe nakwambia hawalali mpaka wapate kilevi chao,nadhani hapa ushuhuda mzuri tutaupata kwa wamama.Nakumbuka miaka ile tulikuwa tunafanya sana field work ktk kampuni yetu tukifika site huko bush wanywaji wakipata ulanzi na komoni kidogo ni mbonji kwa saana,lakini wale wenzetu walikuwa wanatusumbua kweli kwenda kuwaamulia magonvi na kidogo wauawe
 
kama anamiliki wanawake zaidi ya 10, na maingizo mapya unafikiri afya yake ikoje??
kwa maana ya mwonekano..........yupo fit ile mbaya.......ndani sijui kama ameoza. lakini namfahamu long tym....yupo hivyo hivyo

kuna jamaa mwingine tena, yupo tayari kuwanunulia machizi bia kadhaa, ili wawe around..yy akadumishe mila, ili arudi awakute, kumwathen apige simu kwa wifey mbia nipo na washkaji hapa.....ongea na nanihii!![/QUOTE]
Du hiyo kali, lazima uwe mwongo wa kuzaliwa!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom