Note: This article assumes you already know her this is not advice for men just trying to figure out if the Hooters waitress thinks youre cute, ok? This is for men whove already met the woman...
Maisha ya ndoa pengine ni "komedi" (usanii).. Kwa mfano zipo kauli huwa zinatolewa siku ya harusi zinaitwa "Nasaa za wazazi (wengine wanaita wosia kama kauli ya mtu anayekufa)" ambapo wazazi huwa...
Wakuu Mnajifunza nini hapa.............
Friendship among Women:
A woman didn't come home one night.
The next morning she told her husband that she had slept over at a friend's house.
The man...
Kwa wale tunaofuata imani ya kristo , tunasoma na kuamini kuwa:
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kasha hukatwa...
Inseparable couple dies on the same day
I don't know quite how it happens...sometimes appears as very uncommon cases, but it is said sometimes the bond between a husband and wife can be so...
Ukizima Moja, Zote zinazima!
Mwanaume na mwanamke wapo tofauti zaidi kuliko kufanana na hivyo ndivyo walivyo, kukataa haiwezi kubadilisha ukweli.
Mwanamke na mwanaume husikia na kuona vitu...
Hebu niulize swali la kizushi,wakuu ni kosa gani ambalo umeshawahi kulifanya ukiwa na umri wa miaka 25-30 wakati ulipokua chuoni,kazini ambalo limekugharimu huko baadae na au ambalo ungetamani...
Kuambatana!
Wanahitaji kuongea uso kwa uso!
Tumeona kwamba mwanamke anatakiwa (lazima) amheshimu mume ili mume naye ampende na matokeo yake kila mmoja aridhike na mwenzake na hatimaye kuwa na...
Think Twice!
If he hasnt become a Christian to get you to marry him, why would he become a Christian when he knows he has you as a wife?
By Lazarus Mbilinyi
Kama Computer Vile!
Ndoa ni mfano wa computer.
Kwani computer hukupa kile kimewekwa tu, huwezi kutumia program ya MS Word kama haijawekwa, huwezi kupata internet kama haijawa connect na...
mimi natoka huko kwa The Don Ngosha,nakumbuka sana wakati tuko wadogo tulikuwa tunaenda ziwani kuogelea lake Victoria huko mazoo..mabinti with mama zao au waliowatangulia huwa walikuwa wakienda...
Hebu oneni hii jamani, its funny lakini yawezekana ina ukweli.
WHITE WOMEN
First date: You get to kiss her goodnight.
Second date: You get to grope all over and make out.
Third date: You get...
Wadau nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa bro. ameniambia house boy kammegea wife wake.
Kama haitoshi kampa na ujauzito kabisa huku sisi tukiwa na imani na matumaini kuwa bro kafanya kazi...
Nawasalimu wana jamii, pia nawapa pole na mihangaiko ya hapa na pale
Pamoja na salaam pia naombeni ushauri. Naomba kwa yeyote aliyetayali kunishauri anishauri kwa dhati ya moyo wake, si kukejiei...
Jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake.
Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.Nahisi naibiwa kwani zimezidi kua...
Nina muda usiozidi miezi miwili hapa JF nimeanza kunongewa na kwa vile sipendi vya bure nipo mbioni kwenda kulipa premium. LAKINI? kuna watu hapa JF hasa wewe na wewe eeeh na fulani nilitaka...
Wapendwa wana jf, napenda kuwataarifu mapema kuwa mnamo tarehe 10/07/2010 natajia kufunga ndoa huko tanga katika kanisa la kilutheri la kana, na kisha tafrija itafanyika pale railway club kuanzia...
Kuna watu wengi nakutana nao na kitu kimoja nakigundua ni kuwa
watu wengi bado wanaamini kuwa na watoto wengi ni baraka au
utajiri wa aina fulani.....
matokeo yake watu wengi wanazaa watoto wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.