ameniacha nilinde watoto

Yanky

Member
Oct 17, 2009
8
0
naomba usaidizi wenu wana JF, nina jirani ambaye ananikera lakini nimeshindwa kumueleza. Huyu jirani ni mlady mwenye umri wa kati and a single mother of two (boy n gal) issue ni kwamba she's a drunkered..n when she goes out for her drinks anawaacha wanawe kwangu nimlindie..tabia hii hunikera lakini nimeshindwa kumueleza. am single na havent thought of kumarry.

naomba ushauri.
 
kwa nini wakati anawaleta usimwambie na wewe kuna mahali unaenda...kama umeshindwa kabisa kumwambia? ila ndugu yangu huo ndio unaitwa wema wa mshumaa kuwaka huku unateketea....jikaze tu umwambie kuwa hao watoto wanakusumbua sana akiwaacha, na isitoshe ni anaenda kulewa, ni bora ukatae for the sake of the kids
 
naomba usaidizi wenu wana JF, nina jirani ambaye ananikera lakini nimeshindwa kumueleza. Huyu jirani ni mlady mwenye umri wa kati and a single mother of two (boy n gal) issue ni kwamba she's a drunkered..n when she goes out for her drinks anawaacha wanawe kwangu nimlindie..tabia hii hunikera lakini nimeshindwa kumueleza. am single na havent thought of kumarry.

naomba ushauri.

unataka kutuambia nn hapo kwenye kufikiria kuoa? kama vile unaona atakuwa kwenye option list!! sasa wakati akirudi usiku amelewa, huwa anakuja kuchukuwa watoto au wanalala kwako?
 
Starehe zake at ur expense, doh!! Utafanyaje ndo jamii hiyo, na jirani yako ndio ndguguyo, kaaazi kweli kweli!!
 
Duh!
Ina maana wewe huwa hutoki hata kwenda kazini/mihangaikoni? Ukiwa hauko watoto hao hubaki na nani kwani?
Kama ukiwa haupo, wana mtu wa kuwaangalia... basi una sababu ya kumtolea nje . Mwambie awajibike kwa kulea mimba si kazi, kazi ni kulea mwana!
 
naomba usaidizi wenu wana JF, nina jirani ambaye ananikera lakini nimeshindwa kumueleza. Huyu jirani ni mlady mwenye umri wa kati and a single mother of two (boy n gal) issue ni kwamba she's a drunkered..n when she goes out for her drinks anawaacha wanawe kwangu nimlindie..tabia hii hunikera lakini nimeshindwa kumueleza. am single na havent thought of kumarry.

naomba ushauri.

Kama uko Tanzania,jaribu kwenda ustawi wa jamii.
Trust me,you don't want to be stuck in that situation for long,watoto wakianza kukua,itakuwa tricky.
 
Kama uko Tanzania,jaribu kwenda ustawi wa jamii.
Trust me,you don't want to be stuck in that situation for long,watoto wakianza kukua,itakuwa tricky.

Hey

ningependa kujua ustawi wa jamii wanafanya/watafanya nini,kwenye situation kama hizi...?
 
Hey

ningependa kujua ustawi wa jamii wanafanya/watafanya nini,kwenye situation kama hizi...?

In most cases, mwanakitengo huwasiliana na mkuu wa kazi wa mzazi husika na kuhakikisha kuwa kifungu fulani cha mapato yake ya kila mwezi kinatumika katika kusaidia maangalizi ya mtoto (kulipia yaya etc).

Now,depending on whether mama mwenyewe ameajiriwa kisheria au la,kitengo kitaangalia namna ya kuwasaidia watoto ikiwepo kumpiga faini mzazi (I don't believe it works) au,in worst scenarios,kuwaondoa watoto chini ya uangalizi wa mzazi huyo.

Huu ndio uelewa nilio nao kuhusiana na kazi za kitengo kwa mujibu wa mfanyakazi mmoja niliyepata nafasi ya kuzungumza nae a while ago. Iwapo kuna mwanajamvi mwenye upeo zaidi,tusaidiane kimawazo.
 
Iko kazi aliwatafuta wa nini kama anashindwa ku-manage wanae ??
Yanky na wewe unamdekeza huyo jirani yako kwanini usitafute muda umweke kitako na kumweleza mambo anayoyafanya sio mazuri na si malezi mema kwa watoto
 
naomba usaidizi wenu wana jf, nina jirani ambaye ananikera lakini nimeshindwa kumueleza. Huyu jirani ni mlady mwenye umri wa kati and a single mother of two (boy n gal) issue ni kwamba she's a drunkered..n when she goes out for her drinks anawaacha wanawe kwangu nimlindie..tabia hii hunikera lakini nimeshindwa kumueleza. Am single na havent thought of kumarry.

Naomba ushauri.
ni wazi kuwa kakuchagua uwe mzazi mwenzie au labda kapata free houseboy,nawe umeshakubali tayari unalea,sasa unatuulizia nini? Si mara moja moja anakuletea vi chips,bia au soda akirudi?.anyway kama analipa,beba vinginevyo mweleze, samahani mama/dada sitaweza kuwa nao.usimjibu jeuri,haifai
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom