CONGRATULATIONS SHISHI!....welcome to the club

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
KWA MUJIBU WA KUMBUKUMBU ZANGU,you must have quit the club JUMPING TO ANOTHER NEW CLUB

KWA HESHIMA NA TAADHIMA,KWA NIABA YA WANACHAMA WENZANGU WENGI ninakukaribisha sana kwenye ''NEW CLUB''.a no exit system.

huku kuna changamoto kemkem,LAKINI USIOGOPE!

HONGERA SANA,NA KARIBU SANA KWENYE CHAMA CHETU

Sincerely Yours,
GEOFF
 
HONGERA SANA.........sasa unakula/unaliwa//heee! kiswahili bana.......I mean unapata hiyo kitu kwa halali kabisa Location MARANGU NIGHT PARK
Ubarikiwe!!!! leo nimo!
 
HONGERA SANA.........sasa unakula/unaliwa//heee! kiswahili bana.......I mean unapata hiyo kitu kwa halali kabisa Location MARANGU NIGHT PARK
Ubarikiwe!!!! leo nimo!
NOTED MPWA!with many thanks
hivi leo kuna promosheni ya bia gani?
 
NOTED MPWA!with many thanks
hivi leo kuna promosheni ya bia gani?

kumbe hamna specification bali tu inategemeana na upepo unavumaje eeh!!??

Hongera Shishi mwaya!!
 
kumbe hamna specification bali tu inategemeana na upepo unavumaje eeh!!??

Hongera Shishi mwaya!!

Bia bia tu mamaa!! ya moto bia ya baridi bia, thenge bia safari bia!!

mtoto mtoto tu bana, wa kiume mtoto, wa kiket mtoto

Bia ezali wapi?
 
kumbe hamna specification bali tu inategemeana na upepo unavumaje eeh!!??

Hongera Shishi mwaya!!
mgonjwa huwa hakatai dawa mama....!hehehehe,halafu angalia GREAT THINKERS AT WORK HAPA:

Bia bia tu mamaa!! ya moto bia ya baridi bia, thenge bia safari bia!!

mtoto mtoto tu bana, wa kiume mtoto, wa kiket mtoto

Bia ezali wapi?
.......NEED I SAY MORE?...nah
 
bia bia tu mamaa!! Ya moto bia ya baridi bia, thenge bia safari bia!!

Mtoto mtoto tu bana, wa kiume mtoto, wa kiket mtoto

bia ezali wapi?

mgonjwa huwa hakatai dawa mama....!hehehehe,halafu angalia great thinkers at work hapa:

.......need i say more?...nah

hahaaaaaa!!
Na tarehe za mwezi zinahusu hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom